Mwanza City: The Photo Gallery

Yawezekana.

Ila kadri unavyokuwa hao Majaruba watu huwa wanapima viwanja, tena sometimes wanawekaga greda linasawazisha.
Nimeona majaruba ya pale kitumba kama unatoka mipango kuelekea stendi ya kisesa wamesawazisha grader ..sijui wanataka kujenga nini[emoji116]
 
Mbona fence Yao inaishia hapo kwenye jengo linalojengwa
Hyo ilikuwa awamu ya Kwanza , walitanua Eneo mpak barabara ya kitumba kule juu, watu wote walilipwa , na waliokuwa wamejenga walilipwa wakastisha ujenzi , maeneo yote yamesawazishwa...!!
 
Hyo ilikuwa awamu ya Kwanza , walitanua Eneo mpak barabara ya kitumba kule juu, watu wote walilipwa , na waliokuwa wamejenga walilipwa wakastisha ujenzi , maeneo yote yamesawazishwa...!!
Oh .wamefanya jambo jema sana ....maana hata mim nilishangaa kwann wamechukua eneo dogo hivyo ,kama walivyoharibu kampasi ya dodoma ..ikakosa Hadi eneo la viwanja vya michezo ...profesa mayaya ni bright leader sana kaleta mapinduzi makubwa chuo Cha mipango,,,...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…