Mwanza City: The Photo Gallery

Ndio ila ya pale kona ya bwiru inaendelea kutoa huduma, hatujajua kama na hii huyu ndegesera ataifanya hospital au itakuwa royal hotel?
Sio hotel...ni jengo la ofisi zao nahisi ,,,maana kwenye project wameandika RHCL BUILDING
 
Naona picha za buswelu na kiseke unaziita nyasaka [emoji28][emoji28][emoji28]
Hizo mbili za mwisho kuna kiseke na hizo frame ni buswelu zingine ni nyasaka jana..... Jana nilikuwa speed sana🙏🙏🙏🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…