Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Sasa mellow na arms strong wana project maeneo ya round about ya nyerere, karibu na filling station, wameshaweka bango ya ukandarasi na sasa hicho kijumba kinavunjwa, kupisha ujenzi.
Ni jambo la kupendeza kuwa fedha za miradi zinabaki hapa hapa mwanza,,,,badala ya kuwapa wakandarasi wa mikoa mingine ..
 
Ata lile la ghana na majengo yote yanayojengwa ghana 90% kuna mkono wa mellow na arm strong.
 
Vip lakin umeona hapo rwegasore wakandarasi wapo site?
Mkuu nimeweka na picha kabisaa japo nimepiga asubuhi sana wapo floor ya tatu lakini unaweza kuzani wapo 1 floor watu wapo site👇👇👇👇
IMG_20230119_085848_0.jpg
 
Mkuu nimeweka na picha kabisaa japo nimepiga asubuhi sana wapo floor ya tatu lakini unaweza kuzani wapo 1 floor watu wapo site👇👇👇👇View attachment 2487400
Hii dude ukiangalia vizuri bango kuna commercial building and residential houses yaani ni two in one, kaa mkao wa kula hii speed wa hili jengo ni moto kama moto wa jehanamu.
 
Hii dude ukiangalia vizuri bango kuna commercial building and residential houses yaani ni two in one, kaa mkao wa kula hii speed wa hili jengo ni moto kama moto wa jehanamu.
Sasa kama wapo floor ya 3 mbona inaonekana ni first floor kwenye picha
 
Tusubiri pia mega project ya kuja kuitikisa rock city mall, nayo ni mega mall complex pale nyakato.
 
Shida ya miji yetu ni iliandaliwa kwa ajili ya nyumba za kawaida. Sio maghorofa marefu marefu. Ona vibarabara vilivyo finyu halafu ndo migorofa inachipua.

Hili tatizo Dar ndo kubwa sana. Kariakoo, Ilala, Magomeni, Sinza, Manzese na Kinondoni kote kulidesigniwa kwa ajili ya nyumba za kawaida za kuishi. Sio kwa ajili ya maghorofa yanayozidi kuchipua kila mwaka.
 
Hili ni 10 mkuu, sasa wanaweka vioo, nilitaka kusogea huko kulipiga vizuri tatizo likawa muda.
Pliz .Hilo jengo Huwa nalipenda sana .. ukipata muda naomba picha yake . nzuri.....nakupa location ya kupata picha ya vizuri .nenda kwenye mlima nyuma ya soko lile la unguja pale mbugani ...piga picha kutokea huo mlima ,utakuja kunishukuru
 
Shida ya miji yetu ni iliandaliwa kwa ajili ya nyumba za kawaida. Sio maghorofa marefu marefu. Ona vibarabara vilivyo finyu halafu ndo migorofa inachipua.

Hili tatizo Dar ndo kubwa sana. Kariakoo, Ilala, Magomeni, Sinza, Manzese na Kinondoni kote kulidesigniwa kwa ajili ya nyumba za kawaida za kuishi. Sio kwa ajili ya maghorofa yanayozidi kuchipua kila mwaka.
Ilo si tatizo tatizo ni mipango miji, wanatakiwa kutoa masharti kwa kila jengo la ghorofa kuwe na basement kwaajili ya parking ya magari kwa chini kwani kuna ubaya, sisi mwanza tumejitaidi barabara za katikati ya mji wetu ni pana sijui huko dar kwenu.
 
Pliz .Hilo jengo Huwa nalipenda sana .. ukipata muda naomba picha yake . nzuri.....nakupa location ya kupata picha ya vizuri .nenda kwenye mlima nyuma ya soko lile la unguja pale mbugani ...piga picha kutokea huo mlima ,utakuja kunishukuru
Ni jengo zuri na refu na linamuundo unique, pia nimefurahi kuona wanaweka vioo tena vya blue.
 
Pliz .Hilo jengo Huwa nalipenda sana .. ukipata muda naomba picha yake . nzuri.....nakupa location ya kupata picha ya vizuri .nenda kwenye mlima nyuma ya soko lile la unguja pale mbugani ...piga picha kutokea huo mlima ,utakuja kunishukuru
Ulivyosema mbugani nikakumbuka soko la mbugani, naona sasa linapendeza wanajenga mitaro na tayari halmashauri ya jiji la mwanza wamepiga barabara safi
 
Ilo si tatizo tatizo ni mipango miji, wanatakiwa kutoa masharti kwa kila jengo la ghorofa kuwe na basement kwaajili ya parking ya magari kwa chini kwani kuna ubaya, sisi mwanza tumejitaidi barabara za katikati ya mji wetu ni pana sijui huko dar kwenu.
Tuviwanja twa Kariakoo umetuona? Maghorofa yanajengwa kwenye kakiwanja ka mita 20 kwa 20.. kakizidi sana ni mita 20 kwa 30. Halafu juu huko ni sakafu kumi zimebebana. Hata ukiweka parking ya basement haitoshi. Kariakoo basement, ground floor na floor ya kwanza wakati mwingine hadi ya pili wanaweka maduka. Nyumba za kuishi kuanzia floor ya tatu kwenda juu.

Hizo barabara za Mwanza upana ni hafifu. Kama unaziona ni pana hizo basi ina maana hujatembea sana kuona miji iliyopangiliwa vizuri. Tanzania Nyerere hakuwazaga kwamba kuna wakati itafika magari binafsi yatakuwa mengi Tanzania. Yeye naona alikuwa na mtazamo ule wa "Nchi tajiri sio nchi ambayo kila mtu anamiliki gari binafsi, bali ni nchi ambayo hakuna mtu anayehitaji gari."
 
Back
Top Bottom