Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thanks my brother from another motherBado naendelea kuwaletea miradi ya mzawa wa jiji la Mwanza anaendelea kuaminika na kupewa miradi, armstrong international ltd pamoja na kampuni nyingine ya architect ya mellow architects hii miradi mipya na imeanza week hii
View attachment 2489083View attachment 2489084View attachment 2489086
Wamefanya kufuru aiseeKwa hisani ya mikdde na intelligent man.
Bomoa bomoa kupisha mradi mkubwa wa kihistoria ndani ya jiji la Mwanza, ni ujenzi uliokuwa ukisubiriwa kwa hamu, watu wamelipwa fidia adi kufikia milioni 300 kwa nyumba moja
Huu ni ujenzi wa MEGA MALL COMPLEX, hii mall mshinfani wake atakuwa ni two river mall ya Nairobi nchini kenya
View attachment 2490289
Hili ni jengo litakuwa na floor 22 kama msimamizi wa mradi alivyosema, na kama mungu akipenda inshaallah ujenzi huu utaanza mwezi wa tatu.
Hili dude ata rock city mall itakaa.Wamefanya kufuru aisee
Tuombe Mungu wasibadili render na plan ya 22f
Hiyo ndio final mkuu, ngoja nichek mechi hapa ya chama langu la mashetani wekundu japo arsenal wanacheza kama tuna ugomvi.Tuombe Mungu wasibadili render na plan ya 22f
Projects hizi zitabadili sura yote ya Jiji la mwanza 1.JPM bridge. 2.Nyakato mega mall. 3.4ways Mwanza-Mwanangwa 4.Sgr flyover 5. Bugando cardiac institute 6. Mirongo redevelopment ProjectView attachment 2492345View attachment 2492346View attachment 2492347View attachment 2492348View attachment 2492349
Tatizo serikali wanazingua kuweka mzigo kuwaboost bugando, ila kila kitu kipo tayari.Bugando Heart Institute
Construction of a Cardiac Institute (+ Cath lab):
BMC is currently expanding its medical care in a number of super specialitiesincluding Cardiothoracic Surgery and Cardiology, due to the growing burden of heart diseases in the region. This has been associated with high mortality and morbidities due to lack of advanced and accessible cardiovascular services in this region.
The number of patients with heart diseases has been on increase at BMC, overriding the available resources, thus calling for a need to expand the cardiovascular services.
It is also now estimated 30-40% of patients attended at Jakaya Kikwete Cardiac Institute (JKCI) in Dar es Salaam, are from this zone. In 2017, among Paediatric patients with heart disease at BMC, 17% of them required surgery and were referred to JKCI. Majority of them could not afford to pay for transport, accommodation and surgical costs.
Thus, BMC in collaboration with Mwanza Regional Commissioner (Hon.John Mongella) and the Ministry of Health, Community Development, Gender, Elderly and Children has developed a proposal for development of Bugando Cardiac Institute in Mwanza to meet the increasing demand of this superspecialized Heart Service in this region.
Currently the sketch of the building (16 floors, twins, see below) has been completed. The construction of building is expected to cost 59billion.
![]()
Hii ni sketch ya ptoject ya Bugando Cardiac Institute! It will be great project and proud to Mwanza!
Mradi wa miaka mingi tuu huu , Ila hamna chochoteBugando Heart Institute

Kama watawategemea GVT hawatoboi kabisa narudia tena hawatoboi, GVT akili zake huwa wanazijua wenyewe kwasasa wanataka nguvu kibwa ihamishiwe CHATO zonal hospital na ndio iwe kwa Moyo na tayari wameshalink na JKCI!! Unaona kabisa nguvu haitakuwepo labda BMC wao kama wao wajipange kwa kiasi kikubwa wamtumie hata bwana Weil Cornell huyu jamaa kashaweka sana pesa pale BMC kwa muda mrefuTatizo serikali wanazingua kuweka mzigo kuwaboost bugando, ila kila kitu kipo tayari.