Mikdde
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 6,200
- 5,879
Vip Ile hotel inayojengwa pale ghanaUlivyosema mbugani nikakumbuka soko la mbugani, naona sasa linapendeza wanajenga mitaro na tayari halmashauri ya jiji la mwanza wamepiga barabara safi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vip Ile hotel inayojengwa pale ghanaUlivyosema mbugani nikakumbuka soko la mbugani, naona sasa linapendeza wanajenga mitaro na tayari halmashauri ya jiji la mwanza wamepiga barabara safi
Naona pana kwasababu hatujazana kama wananchi wa dar na huku magari ni machache kulinganisha na huko kwenu.Tuviwanja twa Kariakoo umetuona? Maghorofa yanajengwa kwenye kakiwanja ka mita 20 kwa 20.. kakizidi sana ni mita 20 kwa 30. Halafu juu huko ni sakafu kumi zimebebana. Hata ukiweka parking ya basement haitoshi. Kariakoo basement, ground floor na floor ya kwanza wakati mwingine hadi ya pili wanaweka maduka. Nyumba za kuishi kuanzia floor ya tatu kwenda juu.
Hizo barabara za Mwanza upana ni hafifu. Kama unaziona ni pana hizo basi ina maana hujatembea sana kuona miji iliyopangiliwa vizuri. Tanzania Nyerere hakuwazaga kwamba kuna wakati itafika magari binafsi yatakuwa mengi Tanzania. Yeye naona alikuwa na mtazamo ule wa "Nchi tajiri sio nchi ambayo kila mtu anamiliki gari binafsi, bali ni nchi ambayo hakuna mtu anayehitaji gari."
Majengo ni mengi mkuu yanayojengwa hapo ghana je jengo gani?Vip Ile hotel inayojengwa pale ghana
Hapo Jirani na farms...Majengo ni mengi mkuu yanayojengwa hapo ghana je jengo gani?
Kwa yule nshomile? Ule ujenzi upo chini ya arms strong ndio wanapiga ghorofa 10+ yaan ghorofa 12 kama mambo yakienda kama yalivyopangwa.Hapo Jirani na farms...
Naomba unisaidie kupata contact ya mmoja wa mafundi kwenye hiyo miradi...nitashukuru sana[emoji120]Kwa yule nshomile? Ule ujenzi upo chini ya arms strong ndio wanapiga ghorofa 10+ yaan ghorofa 12 kama mambo yakienda kama yalivyopangwa.
Hapo tena adi kesho au jmosi, nitakupa namba ya fundi john anazijua sana hiyo miradi.Naomba unisaidie kupata contact ya mmoja wa mafundi kwenye hiyo miradi...nitashukuru sana[emoji120]
Mbona Hilo jengo linaonekana lipo floor ya kwanzaNa sasa wameanza na huu mradi wa ghorofa 10+ hapo mtaa wa rwegasore upo floor ya tatu ukiwa na basement ya underground. 👇👇👇
View attachment 2487391View attachment 2487392View attachment 2487393
Kijana umenisoma vizuri? Nimesema adi hapo lilipo kwa chini yake kuna graund floor na basement floor ambayo ni underground.Mbona Hilo jengo linaonekana lipo floor ya kwanza
Hii ni CF plaza kama sikoseiProject zingine.... na hii picha ukizoom kwa mbali utaona kuna mradi hapo mirongo, pia hili jengo wanamalizia finishing
View attachment 2487395
Kabisa mkuu, naona nayeye ameanza finishing na kapata wapangaji wa supermarket upande wa mbele japo halijaisha.Hii ni CF plaza kama sikosei
Kifupi kuna floor mbili chini ya hapo unapopaona🙏🙏🙏🙏Kijana umenisoma vizuri? Nimesema adi hapo lilipo kwa chini yake kuna graund floor na basement floor ambayo ni underground.
Asante kwa majibu mazuri mkuu!!!Kwa apartment na villa
bwiru,
Capripoint
Isamilo
Ilemela
Nyakato (mwananchi)
Kwa nyumba classic ila sio mansion
-nyasaka
-buswelu
-nyegezi (majengo
-nyamhongolo
-kiseke
Huo mradi Kwa ilemela sio chini ya bn 30Ilemela imepata bahati ya mradi wa Green and smart Cities unaofadhiliwa na Jumuia ya Ulaya kupitia (France),Waliwasilisha miradi 9 lakini imekubalika 4. 1 ni mradi wa kuboresha mwalo wa Old Igombe, 2. Kuboresha Mwalo wa new Igombe 3.Uboreshaji wa soko Mwaloni 4. Ujenzi Mkubwa wa Soko la Buswelu utakaohusisha Soko+barabara itakayozunguka soko pamoja na Taa
Kwani Nyamagana na wao wapo Green and smart CitiesHuo mradi Kwa ilemela sio chini ya bn 30
Usimsingizie Nyerere, alipokea nchi toka kwa wakoloni ikiwa hivyo hivyo, ukienda nchi kama Uingereza mitaa ya zamani barabara ni nyembamba ila wenzetu wakiona iko busy wanaigeuza kuwa one way.Tuviwanja twa Kariakoo umetuona? Maghorofa yanajengwa kwenye kakiwanja ka mita 20 kwa 20.. kakizidi sana ni mita 20 kwa 30. Halafu juu huko ni sakafu kumi zimebebana. Hata ukiweka parking ya basement haitoshi. Kariakoo basement, ground floor na floor ya kwanza wakati mwingine hadi ya pili wanaweka maduka. Nyumba za kuishi kuanzia floor ya tatu kwenda juu.
Hizo barabara za Mwanza upana ni hafifu. Kama unaziona ni pana hizo basi ina maana hujatembea sana kuona miji iliyopangiliwa vizuri. Tanzania Nyerere hakuwazaga kwamba kuna wakati itafika magari binafsi yatakuwa mengi Tanzania. Yeye naona alikuwa na mtazamo ule wa "Nchi tajiri sio nchi ambayo kila mtu anamiliki gari binafsi, bali ni nchi ambayo hakuna mtu anayehitaji gari."
Kitu gani kilishindikana kuweka mambo sawa, hata sasa hivi inawezekana ni uamuzi tuuUsimsingizie Nyerere, alipokea nchi toka kwa wakoloni ikiwa hivyo hivyo, ukienda nchi kama Uingereza mitaa ya zamani barabara ni nyembamba ila wenzetu wakiona iko busy wanaigeuza kuwa one way.
It seems Kama Amescreen short video ambayo pia quality yake ni mbovuMbona hizo picha ni poor quality[emoji848][emoji848]