Dah jamani kumbe tuipende tu mwanza yetu ni the best place, nipo dar kwa mishe flani toka November yani hapa natamani hii mishe iishe nirudi mwanza hata kesho asee
Dar ni jiji la kibiashara sikatai ila duh limenishindaa hali ya hewa ni taabu, harufu kila sehemu sio ushuani wala uswahilini, foleni za ajabu ajabu,msongamano, wanawake wana vitambii duh[emoji23], sehemu za starehe hazipishani sana na za mwanza, vyakula wanaweka ma viungo mengii mpaka yanapoteza ladha, japo ni kweli mzunguko wa pesa ni mkubwa na inaonekana ila kwenye matumizi ndo utachoka kabisa
East or West Mwanza is the best, tuendelee kuijenga mwanza yetu