Able_Mwamba
Member
- May 11, 2017
- 77
- 77
Wanajitahidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oohh, kumbeIlo jengwa ligeuzwe kuwa godown la mizigo au soko la samaki, hii ni aibu sana toka mwanzo nilikuwa nalipinga ilo jengo na hapo limetumia kama 9bilion lakini kiuhalisia ata 1.2bilion halifikishi, hapa rais wetu mpendwa hayati magufuli alizingua kiukweli.
Utaambiwa nchi ni moja.Kwanini Barrick wanachimba Lake zone wakati Head quarters zao zipo Dar Why isiwe Mwanza centre ya Rock City
Ni kwa sababu..uchumi wetu ni mdogo kuliko Kenya[emoji79]Wakenya wanauchungu na miji yetu ya Mwanza na Arusha kuliko serikali yetu inavyotuchukulia, miji mikubea ya Mwanza na arusha haina flyovers ata moja, haina interchange, ni bora ata Arusha, Mwanza jiji hata dual carriage hakuna, upanuzi wa barabara ya kenyatta nao ni kama ndoto.... Jiji sio wingi wa watu tu bali inaendana na miundombinu bora na huduma za kijamii, kama serikali hamtaki kuweka miundombinu bora kwenye jiji la Mwanza basi tunaomba tamisemi mtuvue hadhi ya jiji, ni bora mkawape singida hiyo hadhi
View attachment 2497570View attachment 2497571View attachment 2497573
Magufuli Kuna kipind alipropose makao makuu ya twiga mineral ambalo ni kampuni tanzu la barrick na stamico .yajengwe mwanza sijui iliishia wapi .Kwanini Barrick wanachimba Lake zone wakati Head quarters zao zipo Dar Why isiwe Mwanza centre ya Rock City
Ni kweli asee ngoja twende mdogo mdogo lakini kenya adi vimji vinavyofanana na maswa vina flyoverNi kwa sababu..uchumi wetu ni mdogo kuliko Kenya[emoji79]
Kwasasa walamba asali wanataka kila kitu kirudi Dar.Magufuli Kuna kipind alipropose makao makuu ya twiga mineral ambalo ni kampuni tanzu la barrick na stamico .yajengwe mwanza sijui iliishia wapi .
Si zinajengwa dodoma na mbeya au hujasikia?Ni kweli asee ngoja twende mdogo mdogo lakini kenya adi vimji vinavyofanana na maswa vina flyover
Ngoja sisi Mwanza na Arusha tusubiri adi yesu atakapokuja.Si zinajengwa dodoma na mbeya au hujasikia?
Nyie si mlisema private sector inajenga huko ..itisheni harambee ya ujenzi wa barabara na flyover [emoji12][emoji12]Ngoja sisi Mwanza na Arusha tusubiri adi yesu atakapokuja.
😂😂😂😂 kwa hiyo mmeamua kutukomesha, basi mtusamehe jama jama.Nyie si mlisema private sector inajenga huko ..itisheni harambee ya ujenzi wa barabara na flyover [emoji12][emoji12]
Mwanza jiji imeambulia soko na stendi ya nyegezi ndani ya miaka 20, Ilemela ina dual carriage Mwanza jiji hamna, Ilemela inapata miradi ya barabara Mwanza jiji inasubiri bajeti ya tarura, misungwi na sengerema unapata daraja la busisi Mwanza jiji ata kamradi ka kuokoteza hamna, sehemu nyingine za majiji kama Dar, dodoma, mbeya na arusha zinapigwa dual carriage za maana pamoja na maflyover Mwanza jiji ata mradi wa kilometa moja ya barabara hamna .......tunaomba mtuvue hiyo hadhi ya jiji tuwape sumbawanga.Nyie si mlisema private sector inajenga huko ..itisheni harambee ya ujenzi wa barabara na flyover [emoji12][emoji12]
Kwan Usagara Hadi kigongo ni km ngapiView attachment 2500701
Aliyeelewa qnieleweshe
Busisi sio mkoa wa Geita bado ni Sengerema DC na ni mkoa wa MwanzaView attachment 2500701
Aliyeelewa qnieleweshe
17km
Kwa maelezo ya Wikipedia ujenzi wa daraja utaenda sambamba na upanuzi wa barabara km 35 mashariki ya daraja ...ambayo ni barabara ya kisesa Usagara Hadi kigongo yenye km 35 ...17km
Eastern end of the bridge to the city of mwanza 35 km.Kwa maelezo ya Wikipedia ujenzi wa daraja utaenda sambamba na upanuzi wa barabara km 35 mashariki ya daraja ...ambayo ni barabara ya kisesa Usagara Hadi kigongo yenye km 35 ...
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app