Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Eastern end of the bridge to the city of mwanza 35 km.

Kisesa usagara umeitoa wapi?
Hyo city of mwanza nilikuwa sijaiona ....
Nadhani ni sahihi zaidi kuwa upanuzi wa barabara utaanzia kigongo Hadi mwanza town .. japokuwa mi nilifikiria kuwa ni barabara inayoelekea mashariki,ambayo ni Usagara kisesa bypass.

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Bado pia uwezekano wa kujengwa njia nne kwa kisesa usagara ni mkubwa sana, Fela dry port, Fela station nk zitachochea hii kitu
 
Kwa mwanza nitapata wapii nitapata appartment za kupanga kwa muda yaan ambazo ni furnitured kabisaaa
 
Sehemu nyingi sana .ingia Instagram mcheki jamaa anaitwa dalali peter mwanza...
Kuna kama hizi [emoji116]
Kingdom apartment kiseke..ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
799d4f3f8724200f44a9f3ee925745a3.jpg
 
Vipi kuhusu maendeleo ya samaki samaki pale mall, nasikia ni samaki samaki ama yule mzungu wa wavuvi camp anakuja kumchallenge Jo
 
Hili eneo siku za Usoni ni CBD
Na hiyo picha ni ya long sasa kuna majengo yanajengwa ya zaid ya floor nane kuna roya hosp, kuna jengo karibu na farm hotel, kuna apartments za TBA, jengo linainuka pia kona ya mwaloni etc hiyo ni CBD ya baadae.
 
Guess location [emoji28][emoji28][emoji116]
20230207_232735.jpg
 
Back
Top Bottom