Mwanza City: The Photo Gallery

Napenda kutoa shukrani zangu kwa kampuni ya armstrong international LTD pamoja na mellow architects kwa kuaminika sana na kuzidi kupewa miradi mbalimbali ndani ya jiji la Mwanza, nadhani nyinyi ni moja ya kampuni bora za ujenzi hapa Mwanza na Tanzania kwa ujumla.... Nimefikia hatua kuwapongeza ni kwasababu ya kuaminika kwao kila ujenzi mkubwa wa maghorofa lazima kuna mkono wa arm strong pamoja na mellow architects, kuanzia mwaka jana adi sasa nimeona wanafanya ujenzi wa majengo zaidi ya kumi ya ghorofa kuanzia nane na kuendelea, nawapa shukrani kwa kuaminika.
 
Sasa mellow na arms strong wana project maeneo ya round about ya nyerere, karibu na filling station, wameshaweka bango ya ukandarasi na sasa hicho kijumba kinavunjwa, kupisha ujenzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…