Hyo city of mwanza nilikuwa sijaiona ....Eastern end of the bridge to the city of mwanza 35 km.
Kisesa usagara umeitoa wapi?
Bado pia uwezekano wa kujengwa njia nne kwa kisesa usagara ni mkubwa sana, Fela dry port, Fela station nk zitachochea hii kituHyo city of mwanza nilikuwa sijaiona ....
Nadhani ni sahihi zaidi kuwa upanuzi wa barabara utaanzia kigongo Hadi mwanza town .. japokuwa mi nilifikiria kuwa ni barabara inayoelekea mashariki,ambayo ni Usagara kisesa bypass.
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Hii yote itategemea kama tutakuwa na viongozi wenye maono ......Bado pia uwezekano wa kujengwa njia nne kwa kisesa usagara ni mkubwa sana, Fela dry port, Fela station nk zitachochea hii kitu
Sehemu nyingi sana .ingia Instagram mcheki jamaa anaitwa dalali peter mwanza...Kwa mwanza nitapata wapii nitapata appartment za kupanga kwa muda yaan ambazo ni furnitured kabisaaa
Kama ni Airbnb ziko nyingi sana pesa yako tuKwa mwanza nitapata wapii nitapata appartment za kupanga kwa muda yaan ambazo ni furnitured kabisaaa
Samaki samaki anawekeza rock city mall?Vipi kuhusu maendeleo ya samaki samaki pale mall, nasikia ni samaki samaki ama yule mzungu wa wavuvi camp anakuja kumchallenge Jo
Hii inajengwa nyakato sehemu gani?
Umeifukunyua mpak umeinasa , hv hapo ulipoipatia naamini watakuwa na michoro mingine ya majengo mengine yanayojengwa au yanayoelekea kujengwa , yaweke na yenyewe
[emoji4]yapo ya Mikoa mingine [emoji16]Umeifukunyua mpak umeinasa , hv hapo ulipoipatia naamini watakuwa na michoro mingine ya majengo mengine yanayojengwa au yanayoelekea kujengwa , yaweke na yenyewe
Hili eneo siku za Usoni ni CBD
Na hiyo picha ni ya long sasa kuna majengo yanajengwa ya zaid ya floor nane kuna roya hosp, kuna jengo karibu na farm hotel, kuna apartments za TBA, jengo linainuka pia kona ya mwaloni etc hiyo ni CBD ya baadae.Hili eneo siku za Usoni ni CBD
Guess location [emoji28][emoji28][emoji116]Na hiyo picha ni ya long sasa kuna majengo yanajengwa ya zaid ya floor nane kuna roya hosp, kuna jengo karibu na farm hotel, kuna apartments za TBA, jengo linainuka pia kona ya mwaloni etc hiyo ni CBD ya baadae.
Airport Mwanza, Ilemela.Guess location [emoji28][emoji28][emoji116]View attachment 2510616
Itupie hapa ili tuifafanue.Qpa sijaelewa kwamba Mapato ya ndani ya Ilemela ni 16B, nimesoma bajeti ya Ilemela 2023/24
Hayo Ni makisio ya mapato yajayo...ya mwaka ni bilioni 13 +Qpa sijaelewa kwamba Mapato ya ndani ya Ilemela ni 16B, nimesoma bajeti ya Ilemela 2023/24