Mwanza City: The Photo Gallery

Hayo Ni makisio ya mapato yajayo...ya mwaka ni bilioni 13 +
Ilemela sasa hivi anacheza na double digits[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Inapoelekea Morogoro kwa report ijayo haitamkamata Ilemela
 
Wangejenga kwanza Cardiac institute
Tatzo hiyo cardiac institute ibahitaji pesa ndefu bugando wenyewe hawawezi adi ufadhili kutoka serikalini na wafadhili wa nje kwa pamoja, me nilishauri wangeanza mdogomdogo watajua huko mbele najua ata serikali itaona aibu.
 
Apo umenena Vemaa waanze tu, vp na Ile Project ya Nyakato imefikia wap
 
Wakenya wanaikubli sana Mwanza lakini kwanini serikali inajifanya kama imetusahau? Miundombinu Mwanza imekuwa kama hanasa, barabara kupanuliwa ili jiji lionekane na hadhi kweli ya jiji nayo imekuwa kama hadithi za abunuwas, ujenzi wa chuo kikuu cha umma Mwanza hakuna ata kimoja achilia mbali kanda yote ya ziwa haina chuo kikuu cha serikali....

Hivi serikali huwa mna agenda gani na Mwanza?

Miradi ya tactic ni kama mazingaombwe kila siku inapelekwa mbele kama hamna pesa ni bora mkatuambia.

Tuomba barabara ya kenyetta ipanuliwe njia nne tumechoka porojo zenu, barabara ya airport adi igombe mpaka nyanguge nayo imekuwa kwenye feasibility study kwa miaka zaidi ya saba.
Angalieni hapa na mchukue hatua jiji la pili kwa ukubwa mnalishushia hadhi yake ni bora tukawa Mwanza mji na hadhi ya jiji wakapewa wanaostahili๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
 
Mtagg mbarawa
 
Sio maneno yangu ni maneno ya wakenya, huyu dada mkenya hongera kwako kwa kuwa mkweli๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
 
Back in Mwanza, aisee nimepita dodoma kiukweli wametuacha mbali mno kwenye suala la barabara, hivi sisi mbona hatuna barabara na wala hakuna mpango huo kwani wahusika wanafanya kazi gani...kuna vitu vinakasirisha sana
 
Sio wewe tu mkuu mimi kila siku huwa naongea sana ni bora tuvuliwe hadhi ya jiji wabaki na majiji mawili ya Dar na Dodoma sisi wengine tubaki miji ya kawaida, na sisi watu wa Mwanza mji hatutaki sifa za kishamba za kuitana majiji lakini ni uchafu tu๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
 
Usimsingizie Nyerere, alipokea nchi toka kwa wakoloni ikiwa hivyo hivyo, ukienda nchi kama Uingereza mitaa ya zamani barabara ni nyembamba ila wenzetu wakiona iko busy wanaigeuza kuwa one way.
Hata Mwanza Lumumba na Lwagasore ni one way
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ