Mwanza City: The Photo Gallery

Bila kuiona Igoma, Nyakato, Mecco ,Mahina, Nyasaka, Kiloleli , Buswelu , Kahama, Nyamhongolo, Lumala, Igombe, Tx , Pasiansi, Mkuyuni , Mabatini, Mwananchi. Nyashishi , Buhongwa, kirumba, k hewa na Kangaye Bado huu uzi utakuwa ni Upuuzi tu.
 
Kwa hiyo "kamji" ndio kameishia hapa...
 
Kwa hiyo "kamji" ndio kameishia hapa...
Huwa nashangaa na ntazidi kushangaa kuona Arusha ikilinganishwa na Mwanza na sijui watu wanatumia vigezo vipi kubishana au kwa kuwa inafuatana ukitaja majiji ya Tanzania.Kwa sisi tunaoifahamu vema miji hii miwili,Mwanza ni kubwa mbali mno kwa Arusha kuanzia eneo la ukubwa wa mji,idadi ya watu,idadi ya nyumba,vyombo vya usafiri(magari,pikipiki,bajaji) Arusha imepimwa na imekaa kimpango mji,pia hotels nzuri inabidi mwanza ikasome+idadi ya maduka ya kubadlisha fedha+shule nzuri kiwango cha kimataifa.Mwanza ni kubwa mno kieneo na hata kibiashara ni tofauti kabisa na Arusha
 
Aisee!! Kweli Mwanza ni mji mzuri sana kwenye ukanda wote wa maziwa makuu.Viva Mwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…