Hela inatafutwa!
Nilisikia hii majuzi nilipokuwa huko
Ndio wanataka kuombea kura Nini!??Kusimama kwa ujenzi ..kumekaa kisiasa siasa mfano pale soko kuu #wapiga kura wangu
Ujenzi lini
Mkurugenzi mkuu wa hospitali alisema ujenzi utaanza mwaka huu ila hakutaja specific date wala month. But wanaonekana wako serious na hii issue.Ujenzi lini
Hawa jamaa wanaeneo lingine ilemela ambapo watajenga hostel. Hii heart institute inajengwa palepale hospitalMkurugenzi mkuu wa hospitali alisema ujenzi utaanza mwaka huu ila hakutaja specific date wala month. But wanaonekana wako serious na hii issue.
Bugando is in that position of undergoing major transformation kihuduma.
Hivi mkuu laizerg una update ya ile mall? Naona kama mradi umekufa hivi.Bugando is in that position of undergoing major transformation kihuduma.View attachment 1388174 hii ni render ya jengo la bugando heart insitituteView attachment 1388175na hii ni ophthalmology centre. Yaani idara ya macho for paediatrics and adults.
Kwenye website yao hawajaweka updatesHivi mkuu laizerg una update ya ile mall? Naona kama mradi umekufa hivi.
ππ ipi hiyo?
Hiyo ya macho iko underconstructionBugando is in that position of undergoing major transformation kihuduma.View attachment 1388174 hii ni render ya jengo la bugando heart insitituteView attachment 1388175na hii ni ophthalmology centre. Yaani idara ya macho for paediatrics and adults.
MWANZA|THE MEGA MALL BUSINESS COMPLEX|14F|PROPOSED - SkyscraperCityππ ipi hiyo?