Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Hivi utaratibu wa kupata space mfano soko linapoisha kujengwa unakuaje?.
Au Ni kila mtu hula kwa urefu wa kamba yake
 
Proposed bugando cardiac centre
1582405986866.png


1582405982916.png
hi
 
Mkurugenzi mkuu wa hospitali alisema ujenzi utaanza mwaka huu ila hakutaja specific date wala month. But wanaonekana wako serious na hii issue.
Hawa jamaa wanaeneo lingine ilemela ambapo watajenga hostel. Hii heart institute inajengwa palepale hospital
 
Back
Top Bottom