BMC sahv watakuwa vizuri sana Baada ya bwana WEILL Kuingia rasmi sasa, GVT kuongeza nguvu na kuimarika kwa makusanyo kwa Mwezi wanafika mpk Bilioni 3 lazima watakuwa vizuri tu muda utaongea!!!Bugando is in that position of undergoing major transformation kihuduma.View attachment 1388174 hii ni render ya jengo la bugando heart insitituteView attachment 1388175na hii ni ophthalmology centre. Yaani idara ya macho for paediatrics and adults.
Hizo ghorofa Ni wapiii huko
FFU quarters MabatiniHizo ghorofa Ni wapiii huko
Typed Using KIDOLE
Haipo, ni dead projectImesimama hii
Walizingua...,waliturusha roho bureHaipo, ni dead project
Hana pesa huyo,,.......... But naamini kuna mambo mazuri yatakuja soon mwanzaWalizingua...,waliturusha roho bure
Dah ngoja tuombee hivyoHana pesa huyo,,.......... But naamini kuna mambo mazuri yatakuja soon mwanza
Isamilo hapoWapi
Typed Using KIDOLE
Yah ni IsamiloHapa ni Isamilo pande za kwa mama Migiro au?
Picha ya mwisho naona wamefunga taa round about ya Nyerere road.
Nipo huku kwa muda huu na nimeona junction nyingi wamefunga taa hiziPicha ya mwisho naona wamefunga taa round about ya Nyerere road.
Ok, zinasaidia lakini au zinaongeza usumbufu? Maana naona Kama kumekuwa na taa nyingi Sana.Nipo huku kwa muda huu na nimeona junction nyingi wamefunga taa hizi
Kuna maeneo zimesaidia ila kuna maeneo mengine kwa kweli sijaona umuhimu mkubwa wa taa.., hayo maeneo yenyewe sheria za taa muda mwingine hazifuatwi... Unakuta imewaka red hakuna mtu wa kuvuka dereva anasepa hivyohivyo, au imewaka nyekundu ile ya kuzuia watu halafu hakuna gari linalopita mtu anavuka tu... Mfano nilijaribu kupita ile barabara ya mirongo kuelekea u-turn hadi sekou toure,ukiizunguka hiyo barabara na ufupi wake kuna traffic lights maeneo manne!!! Na sio eneo busy sana... Ila labda wana malengo na mipango yao sababu hata maeneo walipoziweka si mabaya;ni maeneo ya shule, kwenye junctions na sehemu wanapovuka watu wengi kama pale dampo...Halafu naziona zikiongezwa kabisa kwan kuona maeneo nikipita naona kabisa kuna uhitaji mfano ile raundi about yenye sanamu ya mti wa wajerumani;kuna uwezekano wakaweka pale kama zile za kona ya bwiru au pasiasi sababu magari yanachanganyana sana pale hadi muda mwingine anakuwepo trafiki.Ok, zinasaidia lakini au zinaongeza usumbufu? Maana naona Kama kumekuwa na taa nyingi Sana.