Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

114322901.jpg
31007448.jpg
13513145435_aa638d428c_b.jpg
1918773.jpg
mitaa na barabara zake.
 
tuweni tu wastarabu huu uzi haulinganishi Mwanza na Arusha. tusomeni kichwa cha thread tuelewe. It is for mwanza city not anything else. thread za vs zipo kibao tukabishanie huko.
Usingemjibu huyo mtu wa Arusha. Wana stress za maisha, wazungu wanatiririka Alafu wenyewe wamefuria wanabaki kusifia uku hawana pesa
 
Usiseme kimji wewe acha ujinga Mwanza jiji kubwa kuliko Arusha! Imekuwa jiji mwaka 2002,arusha 2010 hapo kuelewa mpaka uende chuo kikuu??
Acha ligi mkuu ! Mwanza bado sana mwakani nikija Bongo ntafanya ziara Mwanza Inshaalah.
 
Nilichogundua watu mnatuma mapicha ya mahoteli tu, na hii inadhihirisha mnapenda sana uzinzi, hebu tumeni na za mandhari ya nje basi
 
Back
Top Bottom