Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Oliver17.jpg
Oliver18.jpg
Oliver21.jpg
Oliver19.jpg
Oliver1.jpg
oliver hotel nera-solomon street.
 
MZA 7.jpg
proposed construction of st john cathedral church. litakuwa na uwezo wa kuchukua waumini 7000. linategemea kuanza kutumika mwezi wa nane mwaka huu.
MZA 6.jpg
construction site
 
Kwahio huu mji ndio mnalinganisha na Arusha ? Wasukuma mnatabu kwelikweli.

Usiseme mji wa
Sema ka mji kaarusha
Kamji kanaanza kuonekana ngarenaro bado kilomita3 kuingia mjini[emoji3]
Mwanza Da Rock Cty town inaanza 20km kabla ya kuingia mjini town[emoji3]
 
Mambo ya Capri point
Huwa najiuliza kuwa nyumba za huko juu mlimani, hao watu wana hati??kwani wamevamia mlima, ardhi wametoa kibali kweli au ni nguvu ya pesa tu inayokuwa juu ya sheria, au serikali kupuuzia tu??
 
Huwa najiuliza kuwa nyumba za huko juu mlimani, hao watu wana hati??kwani wamevamia mlima, ardhi wametoa kibali kweli au ni nguvu ya pesa tu inayokuwa juu ya sheria, au serikali kupuuzia tu??
Haha haha hawa Jamaa wa Hati na wanatambulika kisheria
 
Back
Top Bottom