Ngokongosha
JF-Expert Member
- Feb 9, 2011
- 3,400
- 7,608
kisesa isangijo satellite town, kwa wageni kisesa ni eneo ambalo liko 20km from mwanza city centre barabara ya kuelekea musoma, watumishi housing wanajenga nyumba hapo na hizi ni nyumba 60 kwenye phase I, phase II itaanza hivi karibuni na nyumba zake ni za ghorofa.