Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyanza then mwanza secondaryShule gani ulisoma Enzi hizo?
Umesoma mjini kabisa. Nyanza na mza sec.Nyanza then mwanza secondary
AlooNimeiona balewa road nikakumbuka mbali sana, barabara niyoitumia kwenda na kurudi shuleni for years
YapUmesoma mjini kabisa. Nyanza na mza sec.
Nasikia usiku pako kama ohio![]()
mtaa wa makoroboi
Mimi ndio naishi apa karibu mkuu[emoji23]![]()
capripoint
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Rock city mall huwezi ilinganisha na mlimani city iliyowekezwa kwa tsh 170000 mwanza in noma.
Kumbe ile ligi ya wakati ule bado haijaisha!!Kwahio huu mji ndio mnalinganisha na Arusha ? Wasukuma mnatabu kwelikweli.
KkkkkkkkkkkNasikia usiku pako kama ohio
Lebhongando![]()
bugando hospital