Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

FB_IMG_1610446742934.jpg

Sekoutoure hospital , Jengo la mama na mtoto
 
View attachment 1682507
Hii nimeikuta Skyscraper , mwenye ukweli nayo atupe ndondooo
Bado sijawa na uhakika nayo sana hii kitu kwa sababu zifuatazo.
- kwanza hii ni picha ya interchange ya Uganda.
-sisikii harakati za bomoabomoa pale buhongwa wakati ile barabara ya buhongwa igoma karibu itaanza kujengwa.
-kama wataweka interchange buhongwa basi hata igoma itakuwa haiepukiki
 
Nadhani hii itakuwa picha ya interchange kwa nchi za Afrika Magharibi (Nigeria au Ghana etc.), ni kwa magari yanayopita upande wa kulia si kama huku kwetu tunaopita kushoto...
 
Nyuzi za Arusha Vs Mwanza zpo nyingi Sana , tushapeleka Uzi mpak thread ya mia na kitu huko tukibishana mwanza Vs Arusha , nenda huko ukaaupdate Wana watakuja...hapa unapoteza mda tuu , yaani mpka bar za Arusha zishapostiwa....unaharibu maudhui ya huu Uzi wa wanamwanza na vipicha vya Arusha mkuu
 
Back
Top Bottom