samsonmoses
Member
- Feb 9, 2017
- 40
- 53
Hv airport ya mwanza inaendeleaje na ujenzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wamekutenda siyo?Wasukuma bana
Bado sijawa na uhakika nayo sana hii kitu kwa sababu zifuatazo.View attachment 1682507
Hii nimeikuta Skyscraper , mwenye ukweli nayo atupe ndondooo
View attachment 1682507
Hii nimeikuta Skyscraper , mwenye ukweli nayo atupe ndondooo
Nadhani hii itakuwa picha ya interchange kwa nchi za Afrika Magharibi (Nigeria au Ghana etc.), ni kwa magari yanayopita upande wa kulia si kama huku kwetu tunaopita kushoto...Bado sijawa na uhakika nayo sana hii kitu kwa sababu zifuatazo.
- kwanza hii ni picha ya interchange ya Uganda.
-sisikii harakati za bomoabomoa pale buhongwa wakati ile barabara ya buhongwa igoma karibu itaanza kujengwa.
-kama wataweka interchange buhongwa basi hata igoma itakuwa haiepukiki
Ni ya Uganda, na ni kwa magari yanayopita kushoto iangalie vizuriNadhani hii itakuwa picha ya interchange kwa nchi za Afrika Magharibi (Nigeria au Ghana etc.), ni kwa magari yanayopita upande wa kulia si kama huku kwetu tunaopita kushoto...
Okay, ingawa ilivyokaa ni kama magari yanapita kulia...Ni ya Uganda, na ni kwa magari yanayopita kushoto iangalie vizuri
Mwanza inapenda hadi inaboamfano tu wa maisha murua kabisa juu ya milima View attachment 1669940View attachment 1669941View attachment 1669952View attachment 1669956View attachment 1669957
Hapa ni wapi?
MalaikaHapa ni wapi?
ShukraniMalaika
Aya linganisheni na hicho kijiji chenu cha wavuviWeka picha za arusha tulinganishe
🤣🤣🤣Nikiweka za Arusha thread itakosa wachangiaji.
Arusha hii ndio ya kuifananisha na Mwanza kwel🤥🤥🤥🤥Aya linganisheni na hicho kijiji chenu cha wavuvi
View attachment 1763889
View attachment 1763890
View attachment 1763891
View attachment 1763892
View attachment 1763899
Nyuzi za Arusha Vs Mwanza zpo nyingi Sana , tushapeleka Uzi mpak thread ya mia na kitu huko tukibishana mwanza Vs Arusha , nenda huko ukaaupdate Wana watakuja...hapa unapoteza mda tuu , yaani mpka bar za Arusha zishapostiwa....unaharibu maudhui ya huu Uzi wa wanamwanza na vipicha vya Arusha mkuuAya linganisheni na hicho kijiji chenu cha wavuvi
View attachment 1763889
View attachment 1763890
View attachment 1763891
View attachment 1763892
View attachment 1763899