Mikdde
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 6,200
- 5,879
Usagara .. nyanghomangoHiko chuo kinajengwa sehemu gani??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usagara .. nyanghomangoHiko chuo kinajengwa sehemu gani??
Ili jengo la abiria ni bora lingefanywa store tu hapo hamna kitu, archect aliyesanifu hili jengo nadhani hakuwa na exposure, jengo halina space ya kutosha, sehemu ya kutenganisha abiria wanaingia na wanaosafiri pia hakuna mtengano wa sehemu ya wageni pia na sehemu ya VIP, hili jengo ni ovyo sana nashauri lifanywe kuwa ghala la kuwekea mizigo au sehemu ya karakana, huyu msanifu ni mpumbavu sana nazani atakuwa ni the sunk fallacy cost huyu, hakika tumehujumiwa pakubwa.
Jengo hilo limejengwa kwa hela za mapato ya ndani ya ILEMELA na mwanza CC ,kwa kutumia force account bilion 4 zimetumika ...hapa ni haraka za Magufuli ndo zimetuponza ,,nadhani TAA wameliona hilo ndo maana wamewanyanganya halmshauri mradi huo ,,,,pia jaribu kupitia bajeti ya mwaka ya wizara ya ujenzi wamegusia ujenzi wa jengo hiloJengo la abiria aliendani na hadhi ya jiji la Mwanza, tunaomba TAA iangalie hili swala kama kutakuwa na upanuzi wa hili lijengo ili basi iweze kuwa terminal ya uhakika, tunaomba mamlaka husika itenge fedha zingine kwa ujenzi wa jengo bora la abiria na si hili ghala la mizigo.
Kwa tathimini za haraka ili jengo lina thamani ya bilioni tatu(3 bil) lakini utaambiwa ni bilioni 13, wahuni wamepiga kama bilioni 10.
Kumbe hili jengo lina thamani ya bilioni.4 na si 13? Na je hiyo bajeti imeongelea ujenzi mpya wa jengo la abiria au upanuzi?Jengo hilo limejengwa kwa hela za mapato ya ndani ya ILEMELA na mwanza CC ,kwa kutumia force account bilion 4 zimetumika ...hapa ni haraka za Magufuli ndo zimetuponza ,,nadhani TAA wameliona hilo ndo maana wamewanyanganya halmshauri mradi huo ,,,,pia jaribu kupitia bajeti ya mwaka ya wizara ya ujenzi wamegusia ujenzi wa jengo hilo
Mi nadhani watajenga phase 1 ambalo ndo hili ,, litakuwa terminal 2 ,,na wajenga lingine litakuwa terminal 3Kumbe hili jengo lina thamani ya bilioni.4 na si 13? Na je hiyo bajeti imeongelea ujenzi mpya wa jengo la abiria au upanuzi?
Hili halistahili ata kuitwa terminal 1 ni bora likaitwa terminal 0, wajipange waanze ujenzi wa terminal 1 angalau liendane na hadhi ya jiji la Mwanza.Mi nadhani watajenga phase 1 ambalo ndo hili ,, litakuwa terminal 2 ,,na wajenga lingine litakuwa terminal 3View attachment 2269200
Serikali sijui iliwaza nn kujenga uwanja wa kimataifa songwe wakaacha mwanza ,,sijui Magufuli alikuwa na haraka gani kuruhusu ujenzi wa jengo lile kibahili ,,,na ndio maana hata barabara ya airport imejengwa kibahili hata taa haina ..Hili halistahili ata kuitwa terminal 1 ni bora likaitwa terminal 0, wajipange waanze ujenzi wa terminal 1 angalau liendane na hadhi ya jiji la Mwanza.
Japo miezi kama mitatu iliyopita wamefunga mataa mazuri sana kuanzia hapo airport adi eneo la kanisani, kona ya malaika beach.Serikali sijui iliwaza nn kujenga uwanja wa kimataifa songwe wakaacha mwanza ,,sijui Magufuli alikuwa na haraka gani kuruhusu ujenzi wa jengo lile kibahili ,,,na ndio maana hata barabara ya airport imejengwa kibahili hata taa haina ..
Huko kwingine wanamwachia naniJapo miezi kama mitatu iliyopita wamefunga mataa mazuri sana kuanzia hapo airport adi eneo la kanisani, kona ya malaika beach.
Hii kidogo iko current
Na sasa hivi wamehamishia shughuli nyingi maeneo ya Mbugani / Mirongo. Kama soko kuu likikamilika wakaendelea kuthibiti usafir wa umma kwenye eneo la Mbugani na Mirongo tutarajie scraper nyingi kupanda upande huo.Hii kidogo iko currentView attachment 2270025
Ni kwel scraper za 10+ ukanda wa mbugani na rufiji zinachomoza sana kwa sasa.Na sasa hivi wamehamishia shughuli nyingi maeneo ya Mbugani / Mirongo. Kama soko kuu likikamilika wakaendelea kuthibiti usafir wa umma kwenye eneo la Mbugani na Mirongo tutarajie scraper nyingi kupanda upande huo.
Hii ni latest, naona soko kuu linapandaHii kidogo iko currentView attachment 2270025Hii ni latest, nona soko kuu linapanda kwa pembeni
Ingependeza kama ungekuwa unatupia humu hayo majengo ambayo yako underconstruction nasi tulio mbali tukayaonaNi kwel scraper za 10+ ukanda wa mbugani na rufiji zinachomoza sana kwa sasa.
Poa mkuuIngependeza kama ungekuwa unatupia humu hayo majengo ambayo yako underconstruction nasi tulio mbali tukayaona