Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

M

Mzigo unasimama hapo hapo Bugarika/ Bugando. Jamaa wana maeneo mengi tu Mwanza sema ina mipango mingine. Mfano Ibanda wanaeneo la mlimani linatambaa mpaka ziwani, bado Bugando Beach, Hapo Isela na penyewe nasikia wanataka kuweka campus ya CUHAS.
Yes, Wana eneo hapo Isela kubwa tu.
 
masoko ya kutengeneza ni haya Apa ni Dampo nafikiri ni Buhongwa, yaani soko limechangamka sema miundombinu
 
Inasemekana mwanza na kibaha ni Moja ya maeneo watu wanatumia kutakatisha fedha money laundering...
Na wanajificha kwenye yard za magari ( pita njia ya airport kuanzia nela Hadi ilemela uone ongezeko la yard za magari )
Pia kwenye sheli za mafuta
(Angalia nyanshishi Hadi nyegezi) na igoma Hadi kisesa .
 
Sasa hv mzee ukianzia pia igoma had nyanguge kuna masheli mengi sana yanajengwa balaa
 
Mzee sasa hv kuanzia kisesa kona ya kayenze had mjini kuna folen kubwa sana yan ujio wa stand ya kisesa na nyamhongolo umesababisha folen sana aisee
 
Kutoka mlima sinai nyakato hio, kuna maeneo huko juu njia ni changamoto yakupasa utembee kwa miguu kwenye mawe ili upate view nzuri[emoji3]
MVIMG_20221211_180247.jpg
MVIMG_20221211_180327.jpg
 
Back
Top Bottom