intelligent man
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 705
- 1,123
Pale palipo kiwanda kinachojengwa cha nyakato steel nyanguge nyumba zinafumuka kwa Kasi Sana aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo maana nakubaliana na takwimu za sensa mwanza ndo inaongoza kwa ujenzi ambao upo Katika hatua mbalimbaliPale palipo kiwanda kinachojengwa cha nyakato steel nyanguge nyumba zinafumuka kwa Kasi Sana aisee
Yes, Wana eneo hapo Isela kubwa tu.M
Mzigo unasimama hapo hapo Bugarika/ Bugando. Jamaa wana maeneo mengi tu Mwanza sema ina mipango mingine. Mfano Ibanda wanaeneo la mlimani linatambaa mpaka ziwani, bado Bugando Beach, Hapo Isela na penyewe nasikia wanataka kuweka campus ya CUHAS.
Serikali inatakiwa ijenge masoko mengine ya kisasa buhongwa,igoma,nyegezi,kisesa na busweluView attachment 2442758
View attachment 2442758
masoko ya kutengeneza ni haya Apa ni Dampo nafikiri ni Buhongwa, yaani soko limechangamka sema miundombinuView attachment 2442758
Sasa hv mzee ukianzia pia igoma had nyanguge kuna masheli mengi sana yanajengwa balaaInasemekana mwanza na kibaha ni Moja ya maeneo watu wanatumia kutakatisha fedha money laundering...
Na wanajificha kwenye yard za magari ( pita njia ya airport kuanzia nela Hadi ilemela uone ongezeko la yard za magari )
Pia kwenye sheli za mafuta
(Angalia nyanshishi Hadi nyegezi) na igoma Hadi kisesa .
HIV Ile stendi ya malori inafanya kazi hapo nyamhongolo?Mzee sasa hv kuanzia kisesa kona ya kayenze had mjini kuna folen kubwa sana yan ujio wa stand ya kisesa na nyamhongolo umesababisha folen sana aisee
Hakuna kitu hyo itakuwa ni stand tu nayoHIV Ile stendi ya malori inafanya kazi hapo nyamhongolo?
Hakuna kitu hyo itakuwa ni stand tu nayoHIV Ile stendi ya malori inafanya kazi hapo nyamhongolo?
Sijaelewa ,,,aisee .Hakuna kitu hyo itakuwa ni stand tu nayo
Hakuna maroli yanayoingia humo kwasasa.Sijaelewa ,,,aisee .
Kwann sasaHakuna maroli yanayoingia humo kwasasa.
Asante kwa picha..na pole kwa mapambano.Kutoka mlima sinai nyakato hio, kuna maeneo huko juu njia ni changamoto yakupasa utembee kwa miguu kwenye mawe ili upate view nzuri[emoji3]View attachment 2443305View attachment 2443306
Noma sana kiongozAsante kwa picha..na pole kwa mapambano.
#MaendeleoHayanaChama
Safi umeupiga mwingi, view Kali sana