Bara bara ya airport ina ushua mwingi , kama Una pesa mingi , nenda kajenge Bwiru , kuna ushua flan Bwiru wa ukweli Sana , watu wapo civilized Sana aisee, sababu kuu naona uwepo wa ardhi oevu (yenye maji maji ) hvyo kufanya hewa iwe Safi na ya kuvutia , pia uwepo wa upepo mwanana wa ziwa , na pia ardhi tambarare Kwa kias fulan , kufikia Kwa Urahs city center , na pia eneo limezungukwa na huduma zote mhimu , kama sehemu za starehe , beaches, mahotel mazuri , airport, masoko , michezo n.k na hvyo watu wenye nazo kuvutiwa na hlo eneo, kiufupi tuu hakuna eneo Tamu kama Bwiru, daah basi Tu hi utafutaji Ila ingekuwa naishi mwanza ningepambana nipate plot Bwiru