Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Naomba render ya SGR Mwanza station
[emoji116]
IMG-20221019-WA0002.jpg
IMG-20221019-WA0003.jpg
 
Sijaielewa kabisa hayo mapangaboi hewani ya nn mkuu
Ha haaaa hata mi huwa nashindwa kuelewa hzi mbwembwe sjui za nn , architecture Wana mbwembwe Sana , wangeweka design ya kiume ambayo ipo straight forward , kazi kazi ... Ngokongosha ana majibu sahihi
 
Ha haaaa hata mi huwa nashindwa kuelewa hzi mbwembwe sjui za nn , architecture Wana mbwembwe Sana , wangeweka design ya kiume ambayo ipo straight forward , kazi kazi ... Ngokongosha ana majibu sahihi
Render inaweza kubadilika muda wowote
 
Ulaya ndio huwa hawana mambo mengi kwenye cbd na look gud sana, parking, garden, recreational area, commercial buildings, market and malls hivi ndio vitu muhimu kwenye cbd
Mh, wakati wao huko ulaya wanalalam miji yao haina life,

Wanjenga cbd, halafu ma barabara makubwa ya naenda kwenye suburbs matokeo yake, asubuhi watu Wanaenda mjini jioni wa rudi nyumbani, maeneo ya kati baina ya maeneo mawili yanakuwa hayachangamki, hayana biashara hadi huko city centre

Miji yetu ni haina mpangilio ila ni imechangamka sana.

Mfano Dar ni jiji lililochangamka kuanzia posta hadi mwisho wa jiji kote ni maduka na sehemu za huduma na makazi
 
Kulikua na haja gani yakujenga jengo fupi ivi katikati ya Jiji wangelijenga Buswelu wilayani uko
Hiyo serikali yenu ndivyo ilivyo vitu vizuri wanapeleka dar na dodoma sehemu nyingine wanadhani ni nje ya Tanzania.
 
kwenye makongomano mnaongea sana ila kwenye kupitisha bajeti..ndiyo zinakuwa nyingi sana
Screenshot_20221227-205645.jpg
 
kwenye makongomano mnaongea sana ila kwenye kupitisha bajeti..ndiyo zinakuwa nyingi sanaView attachment 2462603
Tumechoka na Ngonjera viongoz wa Kanda ya ziwa wakipata nafasi huwa hwazitumii mfano Anjelina Mabula Marry Masanja n.k, kitendo cha Mabula kuwa Waziri wa Nyumba nilitegemea kuwepo kwa Satellite Cities Mwanza, kuwepo kwa Marry nlitegemea kuwepo kwa promotions upande wa Utalii wa Kanda ya ziwa. Wenzetu kanda zingine wakipata chance wanatumia barabara mfano wazir wa ujenzi wa sasa
 
Back
Top Bottom