Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii Cathedral ni balaa sijatembelea Mwz muda kidgo inabidi nipite mitaa ya Kawekamo kushuhudia nikifika Rock CityPicha mbalimbali za ujenzi wa cathedral Mwanza, Tanzania👇👇
View attachment 2530399View attachment 2530400View attachment 2530401View attachment 2530402View attachment 2530403View attachment 2530404
Hiki kiwanja kipo mitaa gani maana wengine tushakuwa kama wageni RockCity ili tukirejea tutembelee
Ilemela naona watu wameweka vitu sio mchezo mtupie na za Bwiru kule nako hatari sana Tarura hawana budi kupafanyia mpango wa Barabara za mtaaniIlemela bado kasi ya ujenzi ni kama inashindana na jimbo la calfonia marekani🔥🔥🔥
View attachment 2548069View attachment 2548070View attachment 2548071
Karibu sana, hiyo cathedral si mchezo asee.Hii Cathedral ni balaa sijatembelea Mwz muda kidgo inabidi nipite mitaa ya Kawekamo kushuhudia nikifika Rock City
Naona tarura watalifanyia kazi.Ilemela naona watu wameweka vitu sio mchezo mtupie na za Bwiru kule nako hatari sana Tarura hawana budi kupafanyia mpango wa Barabara za mtaani
Saba Saba mkuuHiki kiwanja kipo mitaa gani maana wengine tushakuwa kama wageni RockCity ili tukirejea tutembelee
Naona hospital ya wilaya Kwa mbali hapo