Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Hatimaye ujenzi wa barabara ya kenyata Kwa njia nne unaenda kufanyika Kwa km 22 .mwaka huu wa fedha
Screenshot_20240530-114648.jpg
 
Watu wa mipango miji katika jiji la mwanza wanakula rushwa au ni nini!!??? Nasikitishwa sana na namna ambavyo watu wenye pesa wanajimikisha fukwe za ziwa je, sheria za ardhi zinaruhusu mtu/taasisi kujenga hadi ufukweni na kuziba kabisa fukwe mfano mzuri ni kanisa la KKKT bwiru ambao wamejenga ukumbi na uzio wao umefika hadi ufukweni hivyo kuziba kabisa.Huo ni mfano mmojawapo tu ila maeneo ya fukwe yaliyozibwa ni mengi.kwa trend hii vizazi vijavyo kuziona hizo fukwe itakuwa ni gharama,wakati kwa serikali makini na yenye mipango maeneo kama hayo huachwa wazi kwa ajili ya matumizi ya kila mwananchi(recreation center)lakini kwetu ni tofauti maadam una pesa yako basi unajimilikisha ufukwe, TUMELAANIWA NA NANI SISI NGOZI NYEUSI!!??? La pili ambalo nalo linakuja kwa kasi ni ujenzi wa majumba sehemu za milimani ambapo kuna majabali/mawe makubwa ambayo ni vivutio kwa kweli,lakini kutokana kasi ya ujenzi mawe hayo hupasuliwa kwa baruti ili watu kujenga,je,kwa kasi hii ya ujenzi wa majumba milimani tumeamua kuharibu vivutio vyetu vya asili(safu za mawe makubwa sehemu za milima) kwa ajili ya ujenzi!!?? Miaka ijayo hili jiji halitakuwa Rock City tena kwa kuruhusu upuuzi huu.Ni wakati sasa wa watu wa mipango miji kuliona hili mapema kabla mambo hayajaharibika zaidi.Tumeshachelewa kwa baadhi ya maeneo mfano milima ya Sahara,mabatini,kitangiri,ibungilo ambayo kiukweli yanaharibu taswira ya mji tungekuwa ni watu wenye akili na mipango endelevu maeneo ya milimani hayakutakiwa kuguswa na ujenzi wa aina yoyote ila kulinda vivutio vilivyopo yakiwemo mawe makubwa.Tuangalie tu mifano kwa wenzetu miji kama Busan South Korea milima yao yote iko wazi na kwa kwa kweli inapendezesha mji,SISI TUMEROGWA NA NANI!!?? Ni wakati wa mipango miji kuweka sheria kali ili kulinda fukwe zetu pamoja na milima kwa manufaa ya vizazi vijavyo na tusiwe na mawazo mgando ya kuangalia leo tu.
 
Watu wa mipango miji katika jiji la mwanza wanakula rushwa au ni nini!!??? Nasikitishwa sana na namna ambavyo watu wenye pesa wanajimikisha fukwe za ziwa je, sheria za ardhi zinaruhusu mtu/taasisi kujenga hadi ufukweni na kuziba kabisa fukwe mfano mzuri ni kanisa la KKKT bwiru ambao wamejenga ukumbi na uzio wao umefika hadi ufukweni hivyo kuziba kabisa.Huo ni mfano mmojawapo tu ila maeneo ya fukwe yaliyozibwa ni mengi.kwa trend hii vizazi vijavyo kuziona hizo fukwe itakuwa ni gharama,wakati kwa serikali makini na yenye mipango maeneo kama hayo huachwa wazi kwa ajili ya matumizi ya kila mwananchi(recreation center)lakini kwetu ni tofauti maadam una pesa yako basi unajimilikisha ufukwe, TUMELAANIWA NA NANI SISI NGOZI NYEUSI!!??? La pili ambalo nalo linakuja kwa kasi ni ujenzi wa majumba sehemu za milimani ambapo kuna majabali/mawe makubwa ambayo ni vivutio kwa kweli,lakini kutokana kasi ya ujenzi mawe hayo hupasuliwa kwa baruti ili watu kujenga,je,kwa kasi hii ya ujenzi wa majumba milimani tumeamua kuharibu vivutio vyetu vya asili(safu za mawe makubwa sehemu za milima) kwa ajili ya ujenzi!!?? Miaka ijayo hili jiji halitakuwa Rock City tena kwa kuruhusu upuuzi huu.Ni wakati sasa wa watu wa mipango miji kuliona hili mapema kabla mambo hayajaharibika zaidi.Tumeshachelewa kwa baadhi ya maeneo mfano milima ya Sahara,mabatini,kitangiri,ibungilo ambayo kiukweli yanaharibu taswira ya mji tungekuwa ni watu wenye akili na mipango endelevu maeneo ya milimani hayakutakiwa kuguswa na ujenzi wa aina yoyote ila kulinda vivutio vilivyopo yakiwemo mawe makubwa.Tuangalie tu mifano kwa wenzetu miji kama Busan South Korea milima yao yote iko wazi na kwa kwa kweli inapendezesha mji,SISI TUMEROGWA NA NANI!!?? Ni wakati wa mipango miji kuweka sheria kali ili kulinda fukwe zetu pamoja na milimakwa manufaa ya vizazi vijavyo na tusiwe na mawazo mgando ya kuangalia leo tu.
Ndugu unaongelea mipangomiji wa jiji la Mwanza hao watu kuna mda sielewi kwanini serikali iliwaajili ukiondoa maeneo makongwe kama kati kati ya miji na sehemu zingine zilizopangwa zamani kulikobaki kote ni ujenzi holela wanakuja kupima watu walishajenga hawa watu jau sana hawapangi chochote siku hizi mpaka unashindwa kuelewa kwanini wapo pale
 
Rushwa ni kitu kibaya sana,mipango miji wanafanya madudu kwa sababu wengi sio waadilifu
 
Makalla hana mbambamba kanyoosha mulemule Yaani Sangara anasafirishwa kwa Roli mpaka Nairobi ndo anaenda Ulaya, Vivyo hivyo kwa madini na abiria kwakweli hii ilikua ni adhabu hii, Shukran sana Serikari kwa hili mmeupiga mwingi mno!

View: https://youtu.be/dm4WCL7ueFk?si=Xd2J0ymWDkCLa83p

Hapo kale mbona madege ya minofu yametua sana hapo Mwz kuchukua shehena tena si ya kitoto yale ya Cargo tani za kutosha nini kilitokea siasa zilivuruga mengine mpka yalikuwa yanakosea uwanja yanatua ziwani kando mwa uwanja
 
Hapo Clinic wanapowaamishia mama lishe wa Kamanga maeneo ya clinic jiji wangetengeneza Central Park kubwa wakambatanisha na vibanda vya mama lishe patapendeza sana Angalia mfano wa wenzetu
Sahihi kabisa mabanda ya kisasa mifumo ya maji safi na taka ili mtu wa hadhi yoyote anaweza kuingia kupata chakula/kinywaji huku halmashauri ikikusanya ushuru sijui viongozi wetu wanakuwa na fikiria nini?
 
Hii hawamu hii itakuumiza kichwa lile daraja la JPM huwa linawafanya watuchukie zaidi, Geita inaongoza kwa kuingizia serikali zaidi ya mapato ya bilion 600 kwa mwaka hakuna lakini hakuna chochote wanachofanyiwa, Mwanza kuna mgodi mkubwa unakuja wa Nyanzaga lakini utashangaa H/Q ikawa Dar, sijui hii serikali huwa inatuonaje?
Wanashindwa kupeleka umeme na kuunganisha kwa kaya za kanda ya ziwa na wanakuwa na mizunguko mingi sana kwetu, data zikija utasikia mikoa ya kanda ya ziwa zipo mkiani kwa kuwa na kaya chache zilizounganishiwa umeme na matumizi madogo ya umeme.
Kifupi serikali hii haiwatambui watu wa kanda ya ziwa.
Nilichojifunza Mwz na miji mingine ya kanda ya ziwa itajengwa/endelezwa na wakazi wenyewe wa hayo maeneo (wenyeji/wahamiaji) kama wafanyabiashara, waajiriwa wa taasisi binafsi na serikalini, mashirika mbalimbali yaliyopo ukanda huo nk hivyo mbeleko ya serikali itakuja baadae tofauti na sehemu nyingine kama Dodoma, Arusha na Dar. Tumeona zile zama za mkongamano na warsha kurudi tena Arusha kila tukio utasikia Arusha kama vile hakuna miji mingine nchi hii
 
Arusha ni kama maji chief haikwepeki ndio mji bora nchini licha ya kutengwa kutokana na kuwa kambi ya upinzani kwa mda mrefu kutokana na uoto na hali ya hewa yake arusha ingekua na miundombinu ya kueleweka ungeipa sana nchi heshima mikutano ilisimama kutokana na siasa kuna jumuiya za kimataifa zaidi ya 29 ambazo makao makuu yake yako arusha nje ya EAC na Mahakama ya Afrika kwahio mikutano ikifanyika arusha kuna kuwa na unafuu wa gharama kukutana na taasisi nyingi zaidi kuwepo kule kuna wakati hata kuwatunuku wanafunzi wakijeshi ilipelekwa dodoma wakati chuo kipo arusha gharama inakua kubwa sana na hata gharama za kufanya mkutano zinakua chini kwa sababu ya miundombinu rafiki ipo kule ikiwemo ukumbi wa aicc ambao ni wa serikali, mwanza ina fursa nyingi zaidi kiuchumi ikiwemo wingi wa watu, madini na uvuvi unaweza kutengenezwa kuwa mji bora zaidi wa kibiashara na ukasmama kivyake bila hata hiyo mikutano
 
Arusha ni maji haikwepeki kivipi?
 
Unaukwepaje mji wenye taasisi za kimataifa zaidi ya 30??
Utakua mwehu wewe
Taratibu tuliza munkari na hoja yako ni ipi kuhusu Arusha?

Yaani kwa mfano mtu Mwanza anafaidika kipi na Arusha au analazimika nini kwenda Arusha mpka iwe maji asiyakwepe kwa kipi zaidi.

Yaani Arusha na yenyewe imekuwa maji kwa Mwanza hadi kuwa haikwepeki.
 
Mwenzako huyo wa ziwani kaona wivu kwanini mikutano imerudishwa arusha nikamjibu arusha ni maji hayakwepeki makao makuu ya Afrika mashariki sehemu zenye mashirika ya kimataifa ya kila kada unawezaje kuikwepa??
Huoni kama ukifanyia mikutano huko unajiongezea washiriki na kupunguza gharama????
Mwisho nikamwambia mwanza ni mji mkubwa na unauwezo wakuendelea wenyewe kwa sekta kama uvuvi na madini bila kuionea wivu arusha kuwa na mikutano
KUTAKA UENDELEE MWENYEWE NA WENZAKO WADUMAE HUO NI UCHAWI😀
SEMEHENI MWANZA YENU MNAWEZA BILA KUITAJA MIKUTANO KURUDI ARUSHA MNATAKA IFANYIKE WAPI NA SERIKALI INAO UKUMBI MKUBWA HUKO WA AICC AMBAZO GHARAMA ZAKE NI NDOGO
 
Mwenzako huyo wa ziwani kaona wivu kwanini mikutano imerudishwa arusha nikamjibu arusha ni maji hayakwepeki makao makuu ya Afrika mashariki sehemu zenye mashirika ya kimataifa ya kila kada unawezaje kuikwepa??
Huoni kama ukifanyia mikutano huko unajiongezea washiriki na kupunguza gharama????
Mwisho nikamwambia mwanza ni mji mkubwa na unauwezo wakuendelea wenyewe kwa sekta kama uvuvi na madini bila kuionea wivu arusha kuwa na mikutano
KUTAKA UENDELEE MWENYEWE NA WENZAKO WADUMAE HUO NI UCHAWI[emoji3]
SEMEHENI MWANZA YENU MNAWEZA BILA KUITAJA MIKUTANO KURUDI ARUSHA MNATAKA IFANYIKE WAPI NA SERIKALI INAO UKUMBI MKUBWA HUKO WA AICC AMBAZO GHARAMA ZAKE NI NDOGO
Nimekuelewa pamoja sana [emoji122][emoji122]
 
Rock City
 
Attachments

  • cde7f49d7e22498a85da6871394b1f46.jpg
    cde7f49d7e22498a85da6871394b1f46.jpg
    119.1 KB · Views: 19
Back
Top Bottom