Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbeya ukifika utaelewa mm nilizan Kuna kiwanda Cha bajaji,,Aisee moshi imezid kwa bajaji, sidhani kama kuna mji una bajaji nyingi kama mji wa moshi manispaa
Daladala zimeenda wap...sasa kama mji ulikuwa na usafiri mzr wa daladala sasa ukarudi kwenye bajaji na bodaboda...mji unarudi nyuma huo..manispaa ifanye kituAisee moshi imezid kwa bajaji, sidhani kama kuna mji una bajaji nyingi kama mji wa moshi manispaa
Hata kamji ka mbeya kana bajaji nyingi mnoAisee moshi imezid kwa bajaji, sidhani kama kuna mji una bajaji nyingi kama mji wa moshi manispaa
Waache nongwa bajaji inabeba abiria wanne tu
Wewe Umeona mbali sana, haiwezekani mtoke kwenye daladala (Hiace na coaster) mrudi kwenye bajaj na bodaboda ambazo ni very risky na pia zinaongeza msongamano mijiniDaladala zimeenda wap...sasa kama mji ulikuwa na usafiri mzr wa daladala sasa ukarudi kwenye bajaji na bodaboda...mji unarudi nyuma huo..manispaa ifanye kitu