Nani apande daladala wakati kuna bajaj ya fasta? Hao daladala watulie tu, mbona wenzao wa tax walishakubali matokeo? Kila zama huja na aina yake ya usafiri wa haraka
Mbeya ukifika utaelewa mm nilizan Kuna kiwanda Cha bajaji,,
Hapa mwanza hakuna bajaji hata zilizopo wanautaratibu kabisa utakuta wamepaki sehemu Yao wanasubiri abiria na znaenda ambako magar hayafiki,,labda wachache wanazunguka
Daladala zimeenda wap...sasa kama mji ulikuwa na usafiri mzr wa daladala sasa ukarudi kwenye bajaji na bodaboda...mji unarudi nyuma huo..manispaa ifanye kitu
Daladala zimeenda wap...sasa kama mji ulikuwa na usafiri mzr wa daladala sasa ukarudi kwenye bajaji na bodaboda...mji unarudi nyuma huo..manispaa ifanye kitu
Wewe Umeona mbali sana, haiwezekani mtoke kwenye daladala (Hiace na coaster) mrudi kwenye bajaj na bodaboda ambazo ni very risky na pia zinaongeza msongamano mijini