Mwanza: Daraja la Magufuli limekamilika. Je, Makamanda wa CHADEMA watalitumia?

Mwanza: Daraja la Magufuli limekamilika. Je, Makamanda wa CHADEMA watalitumia?

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,170
Reaction score
6,757
Walidai ni megastructures zisizo na faida.

====

Tanzania has completed the construction of the Magufuli Bridge on L. Victoria, Mwanza.The 3.2 Km bridge becomes the longest in East Africa costing $300 million.The bridge has reduced travel time to 4 minutes from 2 hours.

1728631222807.png
1728631247450.png
 
"Tangia mwaka 1961 mpaka 2021 maraisi waliopita yaani watano walikopa takrikani 60Trilioni means ni wastani wa 1 trilioni kila mwaka walikopa ,ila Bibi Kizimkazi na hapa ipo ndani ya miaka mitatu amekopa 30 Trilioni wastani wa 10 Trilioni kila mwaka ,tukimpa miaka mitano au kumi ni kama alivyosema ndugai hii nchi itapigwa mnada" - Twaha Mwaipaya
 
Kama huna akili utaona CHADEMA ni kikwazo kwenye maendeleo ya nchi lakini kama unazo five Senses utatambua kuwa bila CHADEMA yote hayo unayoyaona leo usingeyaona.
Sera ya Chadema wanapinga maendeleo ya vitu kama madaraja,shule hospitali,reli nk ndio maana nasema kuwasikiliza CHADEMA unahitaji kuwa mwendawazimu kwanza

Hawana maana yeyote
 
Back
Top Bottom