Mwanza: Daraja la Magufuli limekamilika. Je, Makamanda wa CHADEMA watalitumia?

Mwanza: Daraja la Magufuli limekamilika. Je, Makamanda wa CHADEMA watalitumia?

Walidai ni megastructures zisizo na faida.

====

Tanzania has completed the construction of the Magufuli Bridge on L. Victoria, Mwanza.The 3.2 Km bridge becomes the longest in East Africa costing $300 million.The bridge has reduced travel time to 4 minutes from 2 hours.
View attachment 3121578View attachment 3121580
Hatari 🔥🔥

Hivi wajuzi wa haya mambo
Mjep huwa mnajenga vipi madarajaa kwenye maji?
Hizo nguzo zinasimkwaje?
 
Sasa wanakuwa wanapinga nini na wanafanya nini? Kwani matumizi ya kodi kwa ubwege wao wanadhani ni kwa ajili gani?
Mlipa kodi anayo haki ya kupendekeza na kupanga matumizi ya kodi anayolipa.
 
Walidai ni megastructures zisizo na faida.

====

Tanzania has completed the construction of the Magufuli Bridge on L. Victoria, Mwanza.The 3.2 Km bridge becomes the longest in East Africa costing $300 million.The bridge has reduced travel time to 4 minutes from 2 hours.
View attachment 3121578View attachment 3121580
Hoja ya kijinga sana, imetolewa na mjinga na mpuuzi anayedhani pesa za ujenzi wa miundombinu ni Toka mfukoni mwa Rais wa nchi au Chama tawala.

Miundo mbinu inajengwa kwa pesa za kodi Toka TAX PAYERS watanzania wafanya biashara na watu wa kawaida wanachama wa vyama vyote vya siasa ni Tax payers.

Ikijengwa kwa mkopo, mkopo unalipwa kwa mapato ya ndani ikiwemo kodi zetu wenyewe regardless political affiliation of tax payers.

Umeleta Uzi wenye maudhui yaliyovunja REKODI YA JUU YA UJINGA DUNIANI.

🤔🤔🤔
 
kwani wana soni? wamekaa kama madada poa ya riverside, hata kwenye ufunvuzi watakuwepo
 
"Tangia mwaka 1961 mpaka 2021 maraisi waliopita yaani watano walikopa takrikani 60Trilioni means ni wastani wa 1 trilioni kila mwaka walikopa ,ila Bibi Kizimakazi na hapa ipo ndani ya miaka mitatu amekopa 30 Trilioni wastani wa 10 Trilioni kila mwaka ,tukimpa miaka mitano au kumi ni kama alivyosema ndugai hii nchi itapigwa mnada" - Twaha Mwaipaya
Mwaipaya hana akili,bi kizimkazi amekuta miradi iliyoachwa ikihitaji pesa hata kama mwaipaya angekabidhiwa nchi ikiwa na miradi kama hii angekopa tu
 
Back
Top Bottom