Mwanza: Daraja la Magufuli limekamilika. Je, Makamanda wa CHADEMA watalitumia?

Mwanza: Daraja la Magufuli limekamilika. Je, Makamanda wa CHADEMA watalitumia?

Kodi ni za watanzania wote wakiwemo Chadema hivyo wote tutalitumia bila kujali itikadi za vyama.
 
Attachments

  • downloadfile-24.jpg
    downloadfile-24.jpg
    38.4 KB · Views: 2
  • downloadfile-35.jpg
    downloadfile-35.jpg
    44.8 KB · Views: 2
  • maiti-9.jpg
    maiti-9.jpg
    52.2 KB · Views: 2
  • JamiiForums-979014263.jpeg
    JamiiForums-979014263.jpeg
    63 KB · Views: 2
  • JamiiForums-1809469145.jpeg
    JamiiForums-1809469145.jpeg
    8.3 KB · Views: 2
  • JamiiForums839866055.jpeg
    JamiiForums839866055.jpeg
    50.6 KB · Views: 2
  • 1679652251550.jpg
    1679652251550.jpg
    354.1 KB · Views: 2
  • IMG-20200726-WA0000.jpg
    IMG-20200726-WA0000.jpg
    43.7 KB · Views: 2
  • FB_IMG_1728353485132.jpg
    FB_IMG_1728353485132.jpg
    18.6 KB · Views: 2
  • FB_IMG_1698722947521.jpg
    FB_IMG_1698722947521.jpg
    17.5 KB · Views: 2
Walidai ni megastructures zisizo na faida.

====

Tanzania has completed the construction of the Magufuli Bridge on L. Victoria, Mwanza.The 3.2 Km bridge becomes the longest in East Africa costing $300 million.The bridge has reduced travel time to 4 minutes from 2 hours.
View attachment 3121578View attachment 3121580
watalitumia tu gentleman, maani sehemu ya tozo, ushuru na kodi zao pia zimesaidia pakubwa kukamilisha mradi huo muhimu wa kihistoria kwa uchumi wa Mwanza na Africa kwa ujumla. Tanzania ni yetu sote licha ya kutofautiana mawazo na maoni mbalimbali hususan kisiasa, bado tutabaki ni ndugu wamoja.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
 
Walidai ni megastructures zisizo na faida.

====

Tanzania has completed the construction of the Magufuli Bridge on L. Victoria, Mwanza.The 3.2 Km bridge becomes the longest in East Africa costing $300 million.The bridge has reduced travel time to 4 minutes from 2 hours.

🙉🙉🙉🙉
 
Back
Top Bottom