Mwanza: Daraja la Magufuli limekamilika. Je, Makamanda wa CHADEMA watalitumia?

Mwanza: Daraja la Magufuli limekamilika. Je, Makamanda wa CHADEMA watalitumia?

Kwamiaka ccm iliyakaa madarakani hilo daraja lilitakiwa liwelimejengwa mika 20 iliyo pita
Yaliyopita si ndwele tugange yaliyopo cha msingi daraja limejengwa
Mavi ya kale hayanuki

Mimi binafsi hujikita kwenye present na future sio past

Nashukuru Mungu sana somo la History, the study of past human events kidato cha nne mtihani wa form four taifa History nilipata F

Siko interest kabisa na past ni muumini wa present and future
Somo la History lifutwe mashuleni na vyuoni
 
Sera ya Chadema wanapinga maendeleo ya vitu kama madaraja,shule hospitali,reli nk ndio maana nasema kuwasikiliza CHADEMA unahitaji kuwa mwendawazimu kwanza

Hawana maana yeyote
Hawalipi kodi iliyotumika kujenga hilo daraja?
 
For my opinions lakini,ifike kipindi sasa hawa opposition parties warecgnize juhudi za serikali sio Kila muda kuwasema vibaya.Kwasababu naamini hata kama ingekuwa wao sidhani kama wangeweza kufanya hivi vitu vyote even if chama chetu kimekaa madarakani for a long time.I think wangekuwa wanatuhubiria sera bora za kutushawishi na sio kupinga Kila jambo ambalo serikali umefanya kwasababu kwa haraka haraka nikihesabu miradi hapa ni mingi na kwanamna moja ama nyingine ime_create a lot of opportunities kwa watanzania tukianzia SGR,JN HYDRO POWER PROJECT,DARAJA LA BUSISI,BARABARA ZA MWENDOKASI (DSM),UTANUZI WA BANDARI KILWA NA MENGINE KIBAO.Hivyo basi ifike hatua waziseme wazi na kuwaunga mkono serikali kwa yale ambayo umefanya kuliko kuponda.Naruhusu kupondwa na kutukanwa kama nimewaboa.
 
"Tangia mwaka 1961 mpaka 2021 maraisi waliopita yaani watano walikopa takrikani 60Trilioni means ni wastani wa 1 trilioni kila mwaka walikopa ,ila Bibi Kizimkazi na hapa ipo ndani ya miaka mitatu amekopa 30 Trilioni wastani wa 10 Trilioni kila mwaka ,tukimpa miaka mitano au kumi ni kama alivyosema ndugai hii nchi itapigwa mnada" - Twaha Mwaipaya
Yesu....🙆‍♂️
 
Hawalipi kodi iliyotumika kujenga hilo daraja?
Sasa kwa nini wapinge kodi kutumika kujenga hilo daraja hao Chadema kama sio upunguani na utaahira wa akili ni nini?

Yaani walikuwa wanapinga kama mabwege hawajui umuhimu wa hilo daraja

Kanda ya ziwa ndio wanajua vizuri mno umuhimu wake

Chadema hilo daraja kukamilika wasahau kushinda kanda ya ziwa sababu walipinga hadharani lisijengwe impact wataiona kwenye chaguzi kitakachowakuta wataamkia shikamoo daraja la Magufuli
 
Back
Top Bottom