Mwanza: Deogratius Kisandu akamatwa na Polisi kwa kosa la kuandika matusi mitandaoni

Mwanza: Deogratius Kisandu akamatwa na Polisi kwa kosa la kuandika matusi mitandaoni

Matusi gani kaandika ,toa mfano
Utakuwa mwalimu wa somo la historia make nikiwa najibu kila point nilikuwa naipa mfano.. kumbe matusi nayo yanahitaji mifano!!????
 
Dr.Shika,Mch.Tito,Mh.Riz 2,Deogratius Kisandu,.......
 
Lock up kunakuwa na msongamano wanajaza machizi tu akina Deo na nabii Tito badala ya kuwapeleka milembe
 
78282fed672957e5cc4a8e019112a5f5.jpg


Huu ujingaa ndo umempelekaa ndo akadakwa na vijana wa siro..
Safi kbsa
 
Atakuwa amepanda ule mti wa kupanga uzazi nyumban kwake ndo maana yanamtokea hayo maana kuna mtu alisema huo mti si mchezo mchezo.
 
Mie ninaomba kuuliza wahenga wa jf, hivi huyu mtu alikua hivi toka zamani au amebadilika hivi karibuni?
 
hii serikali kwann wanahangaika na vitu vidogo ,huyu kisandu hapa jf tunampuuziaga tu nyuzi zake tunazisoma just for funny ,wao kwann wanashindwa kumpuuza tu
bwana were hahaaaaa nsona awamu hii INA deal mpaka namachizi...sijui nawao ni empty set
 
Kuna teja fulani alikua mtata kumbe akifika jela anamegwa. Sasa akiwa uraiani akimiss tu anaanza kusumbua watu ili apelekwe jela.

Nahisi Kisandu ana yake
 
Nimepitia FB Profile yake ni mda mrefu tu alikuwa anaweka vitu ambavyo havieleweki au mtu mwenye akili timamu hawezi kuweka.

Deo Kisandu hana tofauti na Dr. Shika wote wanamatatizo ya afya ya akili yaani uswazi tunawaita "Chizi Fresh" ,Kwa Mshenzi Tito, siwezi kumwita Nabii,huyu Daktari kashathibitisha kwamba Jamaa ni mgonjwa wa akili ashawahi pelekwa Milembe,hivyo Polisi wamrudishe tena akaendelee na matibabu.
 
hii serikali kwann wanahangaika na vitu vidogo ,huyu kisandu hapa jf tunampuuziaga tu nyuzi zake tunazisoma just for funny ,wao kwann wanashindwa kumpuuza tu
1. Njiti ya kiberiti huteketeza msitu mkuu.

2. Mti wowote mkubwa umetokana na mbegu ndogo sana. (Mfano mbuyu)

Hivyo katika maisha yako yote usipuuze jambo lolote dogo laweza kukuletea madhara makubwa. Uumbaji wa Mungu ni mfano kwetu sisi kuiga.
 
Cc Benny nenda kamtoe kaka ako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Afisa elimu na mkurugenzi wake wawajibishwe...huwezi kuwa na mwalimu mwenye maadili haya na ukaacha aendelee kufundisha!
 
Back
Top Bottom