Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,136
- 32,268
Huyu ni mtumishi wa umma. Ni mwalimu huyu. We kama mzazi unaona ni sawa mwanao afundishwe na mwalimu wa hivi? Mambo mengine mbona ni common sense tu hata bila kuingiza uanaharakati na ushabiki uchwara?
Asimamishwe kufundisha mpaka pale tatizo lake litakapoeleweka. Na kama ni mgonjwa wa akili basi apatiwe msaada stahili na mwajiri wake. Ni hayo tu sis....
mmmnh yaani tatizo sio kitu alichofanya bali ni utumishi?? ina maana angekua amefanya mtu ambae si mwajiriwa wa serikali,usingemkamata?....mmmnh ..........na unajuaje afya ya akili za hao wanaowafundisha watoto wenu na hawapo kwenye hizo social sites?.............usiku mwema bro,lol