Mwanza: Deogratius Kisandu akamatwa na Polisi kwa kosa la kuandika matusi mitandaoni

Mwanza: Deogratius Kisandu akamatwa na Polisi kwa kosa la kuandika matusi mitandaoni

Mtu kuandika hamu ya mwili wake nayo ni maneno machafu.. eeeeh au kuna mengine hamkutuhabarisha humu!!

Deo tunasubiri utoke uje utupe habari za huko wanapokupitisha.
Sasa hiyo alikuwa anamwandikia kila mtu au yule alotaka kummalizia hamu. Kwanini aliipost public. Na akamatwe tu ili wakakaze nuts
 
Nchi hii ya kizwazwa.

- Tutapiga hatua siku mijitu mizima ikiacha kutumia kodi za wavuja jasho kufuatilia "vitu vidogo vidogo"
 
Huyo ni mwalimu wale waliosomeshwa Diploma maalum bure kwa hela za walipa kodi.

Hajawahi faulisha dent hata mmoja kwenye somo lake.
The guy is zero Brain.
 
Deogratius Pio Kisandu dish lilishacheza yule!
 
Nilitegemea sana jamaa leo kuwa chini ya magwanda ya kaki,maana hata alichopost jana kumtusi mtume Muhammadi kilistahili kabisa leo awe chini ya polisi maana hana tofauti na TITO.
Aliwatukanaje labda tupia hapa hio screenshot tuone hayo matusi
 
Amekuwa anaandika mengi kwa muda mrefu.. ila wanafunzi hao wanasoma mangapi ya wengine.. kama wanaweza ingia mitandaoni..

Yeye kusema hamu ya mwili sio tusi kabisaaaa. Hawa ni kiki tu.. maneno machafu wanayaona kila kukicha.. ma lezibi wale wawili na sheria ipo huko huko Mwanza kwa kideo kimeonekana wamewaachia huru.. kiki tu
Siku hizi umeanza kujielewa kidogo safi sana utakuwa mdada mzuri
 
Acha kukurupuka wewe .

Huyo fb ametutukana sana waislamu na mtume wetu.

Yaani sisi waislamu tuchezee kwenye kila kitu ila usiichafue kabisa dini yetu na Mungu wetu pamoja na mtume Muhammad hapo lazima tukuwashie moto.
Hahaha mungu gani ajitetei mwenyewe paka mtetee niye huyo mungu fake
 
Back
Top Bottom