Mwanza: Deogratius Kisandu akamatwa na Polisi kwa kosa la kuandika matusi mitandaoni

Mwanza: Deogratius Kisandu akamatwa na Polisi kwa kosa la kuandika matusi mitandaoni

[HASHTAG]#JusticeForKisandu[/HASHTAG]
93bde87e386320dc6b4e4752d55d0fbd.jpg
 
Hili jamaa limetafuta kiki kwa lazima, haya ameshapata kiki sasa, asilie lie
 
Hivi taaluma ya uwalimu aliipataje kama ni chizi? Deo ni anajielewa banah acheni kumchukulia chizi
 
Huyu jamaa utimamu wake ni wa utata fuatilia thread zake humu!Tusubiri ripoti za madaktari!
Yeye ndie awape madaktari hizo ripoti za wehu wake kuthibitisha yeye mwehu so far polisi wamchukulie ni mzima hadi yeye athibitishe
 
Mtu kuandika hamu ya mwili wake nayo ni maneno machafu.. eeeeh au kuna mengine hamkutuhabarisha humu!!

Deo tunasubiri utoke uje utupe habari za huko wanapokupitisha.
Umesoma vyote au umeona hiyo tu? Tangu Januari ianze kumekuwa na series ya matusi mazito kwenyw page yake, MAZITO hasa. Mengine kwa viongozi na taasisi za serikali.
 
AISEE NIMEINGIA FACEBOOK PAGE YAKE NI BALAAA WANA JF TUNAMSAIDIEJE MAANA HACHOMOKI
 
Serikali kama mwajiri imsaidie Deo sio kumkamata. Wampeleke hospital na sio sero
 
Nabii Tito....

Deogratius Nalimi Kisandu...

Refer Mshana Junior comment...

Ngoja niendelee kufikicha akili yangu,
 
Back
Top Bottom