Mwanza: Deogratius Kisandu akamatwa na Polisi kwa kosa la kuandika matusi mitandaoni

Mwanza: Deogratius Kisandu akamatwa na Polisi kwa kosa la kuandika matusi mitandaoni

Sifikiri kama ualimu unamfaa ni basi tu.. Bora hata Polepole angemuwahi yeye kuitangaza sisiemu eeeeh.. napenda ambavyo haingizi ya yeye na wanafunzi wake kwenye maandishi yake.. anaheshimu kazi yake sana.. na anajua mipaka.
anaweza kuwa na sura mbili, ya mtandaoni na ya kazini ambazo hazifanani
 
Wampeleke naye milembe kwanza kumpima akili yake kwanza!

Ova
Hakuna yeye ndie akathibishe mahakamani na kutoa ushahidi kama ni mzima au mwehu akisema mzima sheria iendelee mkondo wake akithibitisha ni mwehu na mahakama ikakubali jamii forums na mitandao yote ya kijamii na media zote inatakiwa kumblock hadi siku mahakama itakapotangaza kuwa ana akili timamu.Lakini sio anaenda pale polisi wanasema mwehu yeye anasema leteni ushahidi hapana.Yeye ndie afanye hiyo kazi.Polisi watakuwa watu wa aina hii wengi mtakuwa mnakesha wodi za vichaa kupimisha hawa vichaa wa aina ya Tito na kisandu wakidakwa wapitie procedure za kawaida wao wakajichomoe wenyewe kwa ushahidi wao sio polisi iwasaidie kuchomoka
 
Kwani DEO anafundisha somo gani? Natamani sana kujua kwa kweli
 
Hakuna yeye ndie akathibishe mahakamani na kutoa ushahidi kama ni mzima au mwehu akisema mzima sheria iendelee mkondo wake akithibitisha ni mwehu na mahakama ikakubali jamii forums na mitandao yote ya kijamii na media zote inatakiwa kumblock hadi siku mahakama itakapotangaza kuwa ana akili timamu.Lakini sio anaenda pale polisi wanasema mwehu yeye anasema leteni ushahidi hapana.Yeye ndie afanye hiyo kazi

Kwani we unafikiri kisandu ni mzima!

Kisandu Syo mzima hakuna haja ya kuingia garama kumtibu sjui kumpima etc,hyo wampeleke milembe moja kwa moja TU tena kwa sababu yeye ni chizi furesh akingia milembe atachezea mkongoto toka kwa wana milembe wenzake waliyodata zaidi yake....

Mtu Mwenye anayejitambua hawezi kuandika utumbo huo mtandaoni mkuu

Ova
 
Anakwambia Kutomb.a ni haki yake in accordance with Article 16 ya katiba. Em wanasheria waje wafafanue hili.
He he..ila sasa hii ni kwa wanandoa zaidi...

Haki ya faragha kwa ajili ya "unyumba"
IMG_20180124_174323.jpg
 
Mi huyu DEO kiukweli hata nyuzi zake humu nilikuw sizielew mana alikuwa anayaweka maisha yake wazi pamoja na visasi kuna wakati nilihisi labda ni mwandishi kumbe mwalimu...
Apambane tu,

silence is a great word
 
Huyu Deo anajadiliwa humu mwara kwa Mara, who is he ?
 
Kama kuna mtu nimtaaramu wa mambo ya IT umu Jf aende ...adukue account ya Facebook ya Deo kisandu ..alafu aifute ...maana Jamaa kaongea ..matusi kwana kukwichi kwichi kalibia post 10 amepost mabaraha tupu huko...msaidien ndugu yenu..yaani Fb wanabid wawekwe mamod ...ili mtu awe anapewa Ban angalau.

Pamoja na kwamba Deo kisandu kaachiwa kwa dhamana ila bado anaendelea kupost habar za kwamba anahitaji kupata kutom*** yaan ni hatari tupu.
Hahahaaa "mimi deo nalimi kisandu aka masqo"!!
 
Back
Top Bottom