Mwanza: Deogratius Kisandu akamatwa na Polisi kwa kosa la kuandika matusi mitandaoni

Ngojaankojoe kwanza ntarudi baadae
 
Huyu atakuwa amewagegeda wanafunzi wake pia, inapaswa wanafunzi wahojiwe pia, ila hii hulka inatoka kwa machief kama wanawagegeda wateule unategemea mtemi nalimi afanye nini??
 
Deo Kisandu hata kama atakuwa huru kwa defence ya Insanity lakini kazi ya ualimu ndiyo bqsi tena kibarua kimeota nyasi
yeahhh hapo Nazi ndio basi tena labda ifahamike tu kuwa Jamaa kaweuka..ikitokea akapatiwa matibabu nakupona huwenda atarejeshwa kazini..kwa sbabu hzikuwa akili zake timamu
 
Hahahahahaha yan wew[emoji23][emoji23][emoji23]watatung'ata kwa kweli
 
Bora yupo mahala salama, mi nikajua katekwa hajulikani aliko !
 
Matusi yapo kitandani sema kaandika maneno yasiyo pendeza machoni pa wengi
 
wanajamii wenzangu leo mida ya saa mbili nilikuwa naangalia habar channel ilikua tv 1 ndipo taarifa hiyo ikatangazwa kwamba watu wa tcra wamemweka chini ya ulinzi jamaa ....hawakutoa maelezo sana ila wamedokeza tu ni kauli za kuchochea uvunjifu wa amani.....sasa kuna aliyepata habari hizi? nawasilisha....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…