Mwanza: Deogratius Kisandu akamatwa na Polisi kwa kosa la kuandika matusi mitandaoni

Mwanza: Deogratius Kisandu akamatwa na Polisi kwa kosa la kuandika matusi mitandaoni

Huyu atakuwa amewagegeda wanafunzi wake pia, inapaswa wanafunzi wahojiwe pia, ila hii hulka inatoka kwa machief kama wanawagegeda wateule unategemea mtemi nalimi afanye nini??
 
Deo Kisandu hata kama atakuwa huru kwa defence ya Insanity lakini kazi ya ualimu ndiyo bqsi tena kibarua kimeota nyasi
65f87c314f78345ec4da7298ea78ed07.jpg
3877ffcfe8a1be088dbee040a6a39a6d.jpg
99a27101e950d01d675ef4095cf03834.jpg
 
Deo Kisandu hata kama atakuwa huru kwa defence ya Insanity lakini kazi ya ualimu ndiyo bqsi tena kibarua kimeota nyasi
65f87c314f78345ec4da7298ea78ed07.jpg
3877ffcfe8a1be088dbee040a6a39a6d.jpg
99a27101e950d01d675ef4095cf03834.jpg
yeahhh hapo Nazi ndio basi tena labda ifahamike tu kuwa Jamaa kaweuka..ikitokea akapatiwa matibabu nakupona huwenda atarejeshwa kazini..kwa sbabu hzikuwa akili zake timamu
 
aiseeee mods muwe muwe mnaweka hata sehemu ya interview kwa mtu anayetka kujiunga na hii forum yenu ..maana kuna member wengine kama huyu nimachizi kabisaaa ..sasa mnapowapa nafasi yakujiunga ktk hii forum tukufu nchini mnatufnya tuwe tumechanganyika na machizi sehemu moja ..mwisho wasiku kichaa kikiwapnda watakuja watu ng'ate bure kama sio kutupiga na mawe...
Hahahahahaha yan wew[emoji23][emoji23][emoji23]watatung'ata kwa kweli
 
Bora yupo mahala salama, mi nikajua katekwa hajulikani aliko !
 
Matusi yapo kitandani sema kaandika maneno yasiyo pendeza machoni pa wengi
 
wanajamii wenzangu leo mida ya saa mbili nilikuwa naangalia habar channel ilikua tv 1 ndipo taarifa hiyo ikatangazwa kwamba watu wa tcra wamemweka chini ya ulinzi jamaa ....hawakutoa maelezo sana ila wamedokeza tu ni kauli za kuchochea uvunjifu wa amani.....sasa kuna aliyepata habari hizi? nawasilisha....
 
Back
Top Bottom