Mwanza: Deogratius Kisandu akamatwa na Polisi kwa kosa la kuandika matusi mitandaoni

Mwanza: Deogratius Kisandu akamatwa na Polisi kwa kosa la kuandika matusi mitandaoni

Hao mapolisi wanatafuta kiki kupitia Deo.. hakuna lolote baya aliloandika.. zaidi ya hamu ya mwili wake kutenda yajulikanayo.

Haya wanaanza kushindana nani anajua kukamata watumia mitandao.
Kuna watu wanatukanana daily huko IG mbona hawakamatwi, labda wame mkamata Kwa kigezo cha kuwa mwalimu, wameona italeta shida Kwa wanafunzi wake kimaadili
 
Hao mapolisi wanatafuta kiki kupitia Deo.. hakuna lolote baya aliloandika.. zaidi ya hamu ya mwili wake kutenda yajulikanayo.

Haya wanaanza kushindana nani anajua kukamata watumia mitandao.
No. Hata polisi wakimwachia... Haitakiwi tume ya maadili imwachie huyo.
Atafukuzwa kazi kwa kukosa maadili. Alkuwa anafata kiki ameshapata. Hata akiacha huo ualimu....atapata kaz nyingine
 
Hizo ni stress za maslahi madogo ya kazi yake so bora atafute sehemu ya kuzimalizia . Kwa akili ya kawaida mwl hawezi kuwa na maneno makali hivyo labda kwa wavaa buti.
 
Kwa hiyo aachwe tu aandike matusi na kutukana watu hovyo? Tena mwalimu kabisa? Nenda huko fb ukaone uchafu wake. Wampeleke akapimwe na madaktari wa akili pengine ana matatizo kichwani

huko Facebook kuna wadada wanajiuza live,mbona hamuwakamati?labda mseme mmeanza fagia fagia huko facebook kwa wanaotukana,hivi ukimkuta ni kweli ana matatizo ya akili,utamfanya nini,si umepoteza muda wako ambao ungefanya mambo mengine?
 
Back
Top Bottom