Mwanza: Deogratius Kisandu akamatwa na Polisi kwa kosa la kuandika matusi mitandaoni

Mwanza: Deogratius Kisandu akamatwa na Polisi kwa kosa la kuandika matusi mitandaoni

Huyu jamaa mi nilijua dish limecheza tangu mda sana wala sikujua kama ni mtu anayejitambua

Kamshika sharubu simba akijua kafa kumbe kazimia tu. kazi anayo.
 
Amekuwa anaandika mengi kwa muda mrefu.. ila wanafunzi hao wanasoma mangapi ya wengine.. kama wanaweza ingia mitandaoni..

Yeye kusema hamu ya mwili sio tusi kabisaaaa. Hawa ni kiki tu.. maneno machafu wanayaona kila kukicha.. ma lezibi wale wawili na sheria ipo huko huko Mwanza kwa kideo kimeonekana wamewaachia huru.. kiki tu

Siku hizi umebadilisha muelekeo au....!???
 
Wanamkamata mkwe wa Obama? Hao waliomkamata wajiandae[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Pamoja na ukweli kama kichwa chake network ni mwendo wa please wait.... Nachelea kusema PENGINE wamemchezea ku hack account kama anavyosemaga humu jf kuhusu kuandamwa kwa familia yake na yeye mwenyewe ili kuiharibia familia yao mfano kutengenezewa kesi nying, ile inshu ya kutaka kupigwa pipe kule secom wakamtegeshea camera ili aonekane gasho, km hayo ni kweli basi labda kachezewa na wataalam
 
Jeshi la Polisi Mkoani Mwanza limemkamata Deogratius Kisandu ambaye ni mwalimu wa Shule ya Sekondari Mkolani kwa makosa ya kutumia vibaya mitandao ya kijamii kwa kuandika matusi.

Mtuhumiwa huyo anadaiwa kutumia ukurasa wake wa Facebook kuandika matusi kwa takribani wiki nzima.

hahaha nilijua mwisho wako utakuwa huu kisandu hivi wanafunzi wako huwa wanaelewa unalowafundisha hehehe
 
Hahahaha...eti ameandika Matusi kwa wiki nzima, as if kuandika kwa wiki nzima mfululizo kunaongeza uzito wa kesi kama vile kumbaka mtoto wa wiki nzima mfululizo.

Viwanda.
 
Lakini mbona kama nakumbuka huyu jamaa miaka ya nyuma alikuwa anaandika vitu sensible,ghafla hivi karibuni akaanza kutuma post za ajabu ajabu,nini kimemkuta?
 
Si anaweza kujitetea kirahis tu accnt yake imekua hacked....kosa lake labda awe hakutoa taarifa kituon
Labda hayo matusi atumie computer ya internet cafe vinginevyo haya mambo ya IP address ya computer yako hasa kama ni ya ofisi nadhani watafuatilia (mie sio mtaalamu wa komptuta nimejiandikia)
 
Hahahaha...eti ameandika Matusi kwa wiki nzima, as if kuandika kwa wiki nzima mfululizo kunaongeza uzito wa kesi kama vile kumbaka mtoto wa wiki nzima mfululizo.

Viwanda.
Alivumiliwa lkn bado akaendekeza

Jamaa post kama 10 hivi utumbo tu kaandika
 
Mtu anaporomosha matusi kama kichaa kumbe Mwalimu tena wa serikali...........huyu jamaa wangeanza kumchapa bakora kwanza kabla hawajampeleka Mirembe au Lutindi.
 
Back
Top Bottom