Mwanza: Deogratius Kisandu akamatwa na Polisi kwa kosa la kuandika matusi mitandaoni

Mwanza: Deogratius Kisandu akamatwa na Polisi kwa kosa la kuandika matusi mitandaoni

😀😀 kumbe unazipata swaga zake!!ngoja atoke tufurahi humu.Utasikia "mimi Deo Kisandu nikiwa selo askari mmoja wa kike alinizimikia,nikamwambia Malia Obama kamuwahi"😀😀😀
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yani jamaa si wamuachie
 
Ha ha haaaaa
Hizo hasira zako unanitolea mie ka vile nimefanya maisha yako yawe yalivyo.. oyooooo huoni aibu eeeeh

Jipige vibao vya usoni ulie kabisa.. kula na mawe plus mchanga kabisa...
nyie ndo mnasababisha umaskin wa nchi kwa kuongeza idadi ya wajinga wasaka tonge badala ya maendeleo, mpo wengi sana na mnarudisha nyuma maendelea ya nchi
 
m maisha yangu yako vizuri alhamdulilah, ninachokisema hapa ni kuwa umaskin wa nchi hii unasababishwa na wajinga wasaka tonge kama wew, mpo wengi sana na mnarudisha maendelea ya nchi kwa ujumla

Eeeeeeh
Kumbe nina pawa ya kutudisha maendeleo ya nchi nyuma nikitaka.. aiseee umenipa chati sana sana sikujua kuandika kwangu humu JF kuna nguvu fulani amazing inapenya... eeee supa Cocochanel
 
Back
Top Bottom