Hatari hiyo wanasema ukiiweka ndani kila siku inaang'aza ni upako wa kila namna unamiminikaKuna na calenda tena mkuu?
Inafanyaje, dah.
Imeisha hiyo hongera zake......Wameshampa mileage akitoka hapo anasepa na kijiji kanisani kutakuwa na watu kama wote.
Serikali ikate rufaa, adhabu inaanza siku ya kutamkwa, rumande sio sehemu ya adhabu
Hakuwa anasafirisha watu,ni basi tu walitaka kuikuza kesiDuh pole kwake ila nae alipitiliza kujita mflame na biashrayake ya kusafirisha watu imemkosti
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kanyoroka, haya mauno hayatakuwepo tenaSema linajua kucheza