Mwanza: Diana Bundala maarufu 'Mfalme Zumaridi' ahukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela, kutumikia mwezi mmoja tu

Nimeshangaa Mahakama ya Mwanza kumhukumu Nabii Zumaridi kifungo cha mwaka mmoja, lakini eti atatumikia mwezi mmoja tu, wkavile amekaa mahabusu miezi 11. Hivi mbona kwa wengine sijasikia wakipunguziwa muda kwa kukaa mahabusu miezi hata miaka? Kisheria hii ikoje. Nomba kujuzwa kwa wajuao.

Najuaga inatokea hivyo kama uto hisumbua mahakama katika uchunguzi wake
 
Nimeshangaa Mahakama ya Mwanza kumhukumu Nabii Zumaridi kifungo cha mwaka mmoja, lakini eti atatumikia mwezi mmoja tu, wkavile amekaa mahabusu miezi 11. Hivi mbona kwa wengine sijasikia wakipunguziwa muda kwa kukaa mahabusu miezi hata miaka? Kisheria hii ikoje. Nomba kujuzwa kwa wajuao.

Kulikuwa kuna kesi gani !.
kesi za kibongo usiombe zikupate utamkumbuka amita bachani na sinema yake amza kanuni
 
Angekuwa sheikh au Ustaadh angepigwa miaka 12 hapo mfumo ndio umemlinda.
Inategemea na kosa. Kosa la zumaridi wala sio kubwa kihivyo.

Sasa hao masheikh unakuta wamekutwa na kosa la kukawiti au la ugaidi. Utategemea adhabu itakua mwaka mmoja jela?
 
Bora litoke haraka nimelimiss vibe lake.
Lile lidada lishangingi linajua kupendeza linajua kujiachia madhabahuni halafu lina akili mingi sana.
Linaenjooooy life.
Uishi maisha marefu Zumaridi.
 
Inategemea na kosa. Kosa la zumaridi wala sio kubwa kihivyo.

Sasa hao masheikh unakuta wamekutwa na kosa la kukawiti au la ugaidi. Utategemea adhabu itakua mwaka mmoja jela?
Inategemea na kosa. Kosa la zumaridi wala sio kubwa kihivyo.

Sasa hao masheikh unakuta wamekutwa na kosa la kukawiti au la ugaidi. Utategemea adhabu itakua mwaka mmoja jela?
Papa ndio promota wa ushoga usitukane masheikh bure.
Papa ameshawaambia sio kosa kulaneni tu.
 
Alishawageuza waumini wake kama mazombie

Ova

Wasukuma tatizo ni washamba ase na hawasikii ata uwaambie nini [mention]wa kupuliza [/mention] ni mfano tosha huyu [emoji1787][emoji1787][emoji1787] mtani wangu lakini najitaid kumuelimisha wapi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom