Mwanza: Diana Bundala maarufu 'Mfalme Zumaridi' ahukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela, kutumikia mwezi mmoja tu

Hivi ukishuhudia ile video?

Na ulifwatilia kesi kwa ufasaha kabisa
Inawezekana ni roho mtakatifu amewakolea utajuaje!?
Serkali inavitengo vya kisayansi ile wangeichuku nakufanya utaafiti kama wamelishwa sumu au inawaathili kibaolojia baada ya hapo wangepata jibu ila kama sihivyo hukumu imetolewa kishabiki

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Hapo sialitakiwa aende jela na hiyo 12 kisha akifika kule wana punguza miezi 4 kwakua kosa lake sio jinai...Yani alitakiwa atumikie kifungo cha miezi 8 period sasa imekuaje tena!
 
Inawezekana ni roho mtakatifu amewakolea utajuaje!?
Serkali inavitengo vya kisayansi ile wangeichuku nakufanya utaafiti kama wamelishwa sumu au inawaathili kibaolojia baada ya hapo wangepata jibu ila kama sihivyo hukumu imetolewa kishabiki

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app

Embu nenda google usome vizuri habari yake af utaona makosa yake ambayo alifanya na kukutwa na hatia
 
Back
Top Bottom