Mwanza imezizima wananchi wakesha kuusubiri mwili wa mpendwa wao hayati Magufuli utakaowasili saa 1:00 asubuhi!

Mwanza inaenda kuandika historia.
 
Hata wakizizima hawezi kuamka uyo kashaenda
 
Uombolezaj wa namna hii unazihilisha tatzo la ajira n kubwa na tuna umasikin wa kupindukia.

Kama unashughul zako huwez kwenda kushnda uwanjan kutazama mfu
 
CCM utadhani wanafanya kampeni za uchaguzi,wanatumia nguvu kuwalazimisha wafanya kazi wahushurie,na hivyo kuongeza idadi ya watu.

CCM ni bora isingekuwepo.
Stupid, mshenzi, an animal, msaliti, kinyesi, shetani ni majina yanayokufaa wewe...
 
Kukesha kuambukizana covid19 ni ujinga tu
 
Stupid, mshenzi, an animal, msaliti, kinyesi, shetani ni majina yanayokufaa wewe...
Wewe uvccm acha kutukana basi. Haya matusi yako hayawezi kumrudisha marehemu duniani. Jitahidi unywe maji mengi ili upunguze munkari! Umepaniki sana. 😇
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…