Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunaomboleza mwaka mzima bwashee!Sawa.. hadi 21 ni nyingi sikutegemea
Tutoleeni mikosi hapa , fukieni mzoga wenu huo
Mwanza inaenda kuandika historia.
Bavicha wana chuki sana!Uzuri na wewe utakuwa Mzoga siku moja! Hakuna cha ajabu
Kumbe mnasombana tuTangu jana bwashee tukiwa na msafara wa coaster 26!
Mpelekeeni gwajima amfufueAcha watu waomboleze mpendwa wao! Kama wewe inakukera pana mambo mengi ya kufanya kuliko kujipa stress na kinachoendelea Mwanza.
Hata watoto wa Ndesamburo wale wanaomiliki Chadema tuko nao!Kumbe mnasombana tu
Uombolezaj wa namna hii unazihilisha tatzo la ajira n kubwa na tuna umasikin wa kupindukia.Ni una mental bankrupt sio bure. Yaan kama una akili timamu hauwezi jikosesha thamani kiasi hiki. Pamoja na kuwahurumia watu wenye akili kama zako, huwa naumia moyoni kusikia jitu linajiturumua eti bora nitawaliwe na mzungu kuliko kutawaliwa na mwsfrica menzangu. Kifupi umebakiza kujipaka kinyesi ili kuwa chizi kamili.
dunia nzima inaomboleza kifo cha shujaa wetu, wewe ni nani bado unamponda mawe tuuuuuu. Si ni shetani tu wewe.
Stupid, mshenzi, an animal, msaliti, kinyesi, shetani ni majina yanayokufaa wewe...CCM utadhani wanafanya kampeni za uchaguzi,wanatumia nguvu kuwalazimisha wafanya kazi wahushurie,na hivyo kuongeza idadi ya watu.
CCM ni bora isingekuwepo.
Wewe uvccm acha kutukana basi. Haya matusi yako hayawezi kumrudisha marehemu duniani. Jitahidi unywe maji mengi ili upunguze munkari! Umepaniki sana. 😇Stupid, mshenzi, an animal, msaliti, kinyesi, shetani ni majina yanayokufaa wewe...
Mungu ni mwema bwashee!Road to road to chato