Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,186
- 13,757
Zikeni, mnamcheleweshea marehemu raha zake za kaburi au adhabu zake
Acha watu waomboleze mpendwa wao! Kama wewe inakukera pana mambo mengi ya kufanya kuliko kujipa stress na kinachoendelea Mwanza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zikeni, mnamcheleweshea marehemu raha zake za kaburi au adhabu zake
Wewe unafanya kibarua wapi?CCM utadhani wanafanya kampeni za uchaguzi,wanatumia nguvu kuwalazimisha wafanya kazi wahushurie,na hivyo kuongeza idadi ya watu.
CCM ni bora isingekuwepo.
Mtu anayekubalika huitaji kumpigia kelele zote hizi, ukiona mtu anajisifu/kusifiwa kuwa anakubalika/kupendwa jua kuna tatizo sehemu. Leo nimesikia eti wanampamba kuwa alikuwa mtu wa haki....nkasema mhuuuu jamani tumfika huko!!!
Hapana sina. Nipatie basi hata kibarua bossWewe una kazi?!
Kumbe nae anaambiwa [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]johnthebaptist hayupo Mwanza, picha atapata wapi?
Ipi nzuri nitafuteKunywa sumu bwashee!
Hahahaaaa...... Niko kwenye msafara wa chifu Mareale bwashee tuna kibali cha kuingia hadi Chato siku ya Ijumaa, usimchukulie kizembe zembe bwashee!Kumbe nae anaambiwa [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Ya panya buku!Ipi nzuri nitafute
Sawa.. hadi 21 ni nyingi sikutegemeaYa panya buku!
Kumbe unatokea kwenye ukoo wa kichifu? Hongera sana mkuu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Hahahaaaa...... Niko kwenye msafara wa chifu Mareale bwashee tuna kibali cha kuingia hadi Chato siku ya Ijumaa, usimchukulie kizembe zembe bwashee!
Hakika, natamani kungekuwa na remote...nifoward hadi tarehe 27Leo siku ya ngapi kwani... Nahisi kukinai sasa ..iishe sasa
Yaani kila sehemu ni coverage hiyo hiyo redio zote hakuna taarifa za siku zote.. noma sanaHakika, natamani kungekuwa na remote...nifoward hadi tarehe 27
Hahahaaaa...... Bwashee tuko msibani bhana!Kumbe unatokea kwenye ukoo wa kichifu? Hongera sana mkuu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Hadi Kenya na Uganda habari kuu ndio hii bwashee labda ujaribu Radio Ubelgiji!Yaani kila sehemu ni coverage hiyo hiyo redio zote hakuna taarifa za siku zote.. noma sana
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] sawa mjukuu wa chifu marealeHahahaaaa...... Bwashee tuko msibani bhana!
Unataka tumzike mapema kwani anawai kwenda wapi? Tunamuazima only 3 to 5 days ya maisha yake ya milele ebu mtuache na kipenzi chetu.Huo n udhalilishaj kwa marehemu wala sio upendo.
Waafrika tunafanyaga yale yale kila siku.
Pesa ya kuuguza kidogo,pesa ya kuandaa mazishi kubwa.
Trump alkuwa sahihi,hizi nchi zetu znatakiwa kutawaliwa tena.
Kwa jinsi dunia inavyoenda speed,hatukupaswa kutumia muda wote huo kwenye mwili wa baridi.
Hiyo t shirt yako inaonesha siasa siyo uadui!Unataka tumzike mapema kwani anawai kwenda wapi? Tunamuazima only 3 to 5 days ya maisha yake ya milele ebu mtuache na kipenzi chetu.
Hivi wasukuma wanajuaga kuwa kila zama na kitabu chake?Sijapata kuona heka heka za kiwango hiki katika jiji la Mwanza ambapo watu wamekesha kumsubiri mpendwa wao hayati Magufuli waweze kutoa heshima za mwisho.
Kwa kweli hayati Magufuli anakubalika kanda ya ziwa maana nimeshuhudia wageni kutoka pembe zote za kanda hii wakiwa tayari kumpokea, kumuaga na hatimaye kumsindikiza hadi Chato kipenzi chao.
Vituo vya mafuta viko busy kuuza maana kila mmoja ameshakaa mkao wa mapokezi, kuaga kisha msafara kuelekea Chato baada ya zoezi la kumuaga hayati Magufuli kukamilika katika uwanja wa CCM Kirumba.
Updates;
Uwanja wa CCM Kirumba umefurika, watu ni wengi kweli kweli na wote wakiwa na sura za huzuni na simanzi.
Kule kwenye mzunguko ambako wamekaa wananchi wa kawaida kulijaa tangu alfajili kabisa kadhalika jukwaa la viongozi limeshasheheni wahusika.